Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.

Wakati huo huo, Hemedy ametangaza ujio wa single yake mpya, On My Wedding Day.

“So proud to announce my new coming single “on my wedding day” produced by sei records…inatoka mwezi wa 4/2014..after single ya rest of my life this is my brand new song…#coming soon
 
mbumbumbu mwenzake

ngoja wamchapie, mimi nikiwa wa kwanza
 
Anavomwongelea na kumsifia hili penzi inalekea bado la moto, likipoa lazima awe casual from official
 
Yaleyale ya bob junior na mkewe
mara ooh nimekuta kavaa kufuli yangu mara nimekuta sms zisizoeleweka kwenye simu
 
Huyo demu anaitwa muna omary, ni mtoto wa nje wa liumba.....phd hapo anapita tu maana demu mwenyewe majanga huyo, anataka kutoka na watu wenye majina tu
Ganda la mua la jana....! Uzuri wake ni kuwa hainaga makombo japo shombo halikosekani
 
Huyo demu anaitwa muna omary, ni mtoto wa nje wa liumba.....phd hapo anapita tu maana demu mwenyewe majanga huyo, anataka kutoka na watu wenye majina tu

watu hubadilika!wako katika mapenzi ya kweli
 
Si Kweli Kabisaaaa!
Huku mjini hata wewe ukiwa star with 'mapowder' watatakuzushia tena with filed documents....

kibongobongo mtu kama mpoki wa ze comedy,inspector haroun,mrisho mpoto hata wavae sketi na kupaka powder na hata ikitokea wamepiga picha wamepakatwa na wanaume wenzao hawawezi kuzushiwa mashoga.........kwasababu wana sura chachu,ngumu na maumbo yasiyoeleweka!...........ila ukiwa una sura ya mama kashfa zitakuja tu
 
Ha ha haaa..Umefanya niangalie picha zao.. 😉

JF raha sana..
 
kibongobongo mtu kama mpoki wa ze comedy,inspector haroun,mrisho mpoto hata wavae sketi na kupaka powder na hata ikitokea wamepiga picha wamepakatwa na wanaume wenzao hawawezi kuzushiwa mashoga.........kwasababu wana sura chachu,ngumu na maumbo yasiyoeleweka!...........ila ukiwa una sura ya mama kashfa zitakuja tu

Kabisaaaa....Ukifanana na dada zako....inabidi uwe Fit kisaikolojia!!
 
Mapenzi hayatabiriki bhana,wanaweza kuoana,mbona Wema na Diamond walirudiana
 
Back
Top Bottom