Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

ukishapandwa ndo utajua we ni ngazi au mbegu? pumba zipi hizo na we umesahisha kipi? nimchukie hemedi kwa lipi hasa? hapaki poda? lip bam/stick?
narudia tena KAJAMBE WEWE

Wewe mtaro unatabu kweli kweli unaongea acha kukimbilia wengine, unanuka hujiui kuchibwa mtaro na kupaka make up wanaume ni mambo mawili tofaut acha mawazo madogo sikatai kupandwa hasa na warembo coz ndio wananogesha mambo vp ww kaz kuwaza kujamba jamba na makutu wenzio
 
Hongera zao inaonekana wanapendana hadi wamefanana
 
Wewe mtaro unatabu kweli kweli unaongea acha kukimbilia wengine, unanuka hujiui kuchibwa mtaro na kupaka make up wanaume ni mambo mawili tofaut acha mawazo madogo sikatai kupandwa hasa na warembo coz ndio wananogesha mambo vp ww kaz kuwaza kujamba jamba na makutu wenzio

hata sielewi umeharisha nini hapa hebu harisha tena
 
Wajemeni,

Hebu tuitumiage hii forum kujadili na kutatuwa matatizo ya nchi yetu bila ya kujali tuko vyama vipi vya siasa. Kwanini kuwa katika chama kimoja au kingine liwe ni jambo la siri na iwe ni sababu ya kupinga au kuunga mkono hoja za mchangiaji?

Tuamkeni, ebwe!

Mliwai kumshuhudia akifanya hivyo?
 
kibongobongo mtu kama mpoki wa ze comedy,inspector haroun,mrisho mpoto hata wavae sketi na kupaka powder na hata ikitokea wamepiga picha wamepakatwa na wanaume wenzao hawawezi kuzushiwa mashoga.........kwasababu wana sura chachu,ngumu na maumbo yasiyoeleweka!...........ila ukiwa una sura ya mama kashfa zitakuja tu
Joti kuigiza kote huko kama mwanamke na mapoda juu lakini wala hakuna wa kumfikiria mabaya!!!!
Bongo ukishakuwa soft copy tu basi wape karatasi tu!
 
Back
Top Bottom