Huyu ndiye model aliyekamatwa huko China na kuhukumiwa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Ilimkuta wakati mgumu pale,alipoishia ndani ya mikono ya polisi wa nchini humo kwa kosa la kuzidisha muda wa kukaa nchini humo,wazungu wanaita ku-overstay,na ili kuchomoka katika msala huo, anatarajia kutumikia kifungo cha miezi mitatu mjini hapo au kulipa faini ya fedha taslim kabla ya kurudishwa kwao hapa Bongo.
Huyu amekuwa ni mrembo kutoka Tzee, mwingine kuongeza idadi ya wabongo wengi walioshikiliwa nchini humo katika kampeni ya kuwasaka waamiaji wanaozidisha muda wao wa makazi nchini humo.
 
Video zipi alishikishwa?
 
Jina limehifadhiwa?,...taja jina wengine tupate kumfahamu pengine jirani yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…