Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ilimkuta wakati mgumu pale,alipoishia ndani ya mikono ya polisi wa nchini humo kwa kosa la kuzidisha muda wa kukaa nchini humo,wazungu wanaita ku-overstay,na ili kuchomoka katika msala huo, anatarajia kutumikia kifungo cha miezi mitatu mjini hapo au kulipa faini ya fedha taslim kabla ya kurudishwa kwao hapa Bongo.
Huyu amekuwa ni mrembo kutoka Tzee, mwingine kuongeza idadi ya wabongo wengi walioshikiliwa nchini humo katika kampeni ya kuwasaka waamiaji wanaozidisha muda wao wa makazi nchini humo.