Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

si kweli unenayo
 
si kweli unenayo

Haya nipe takwimu ya turnover ya vyote hivyo japo in a year:

1.Kampuni yake biashara ya muziki
2.Kipindi cha Mkasi (nadhani ana %,sio yake 100%)
3.Kipindi cha Ngazi kwa Ngazi (ana % sidhani kama ana 100%)
4.Mapato yake kama msanii kwa mwaka
5.Kampuni zingine kama anazo.
6.Assets zake zote alizonazo,ondoa magari
7.Kingine chochote worth mentioning

Kutaja majina ya vikampuni ambavyo anavyo au ana mkono wake sio tatizo,most definitely ni hasara tu hadi hivyo vipindi unavyodhani

Pia mapato yake kama msanii binafsi infact kama serious at this point of his career,hata ukitaja nadhani itakua ni kichekesho.

Twende kwa namba,kama hata hujui kiuhakika basi twende kwa educated guesses basi,uone namba zitakavyokua ndogo mkuu
 
unawachukia tu wanaume tena bila sababu yoyote....Wewe ni jinsia gani?!
 
Mafanikio sio pesa, we look at what you own not how much you have.
sijui nikupe zawadi gani dada,maana kuna kipindi watu walihoji masanja juu ya utajiri wake kisa ni mchekeshaji hela ametoa wapi,wanasahau kuwa mtu yeyote anaweza kuwa tajiri endapo tu atakuwa na mipango mizuri ya maisha
 
Waswahili sasa hivi utawasikia wakisema kuwa ni mfuasi wa dini ya mashetani na alimtoa mama yake kafara
 
KUMBUKA UMESHASEMA UNAMCHUKIA NDIO MAANA HATA MAMBO UNAYOYAULIZA NI CHUKI BINAFSI ULIZONAZO JUU YAKE
 
Maana hata kina dr. Dre, P diddy,jay z, akina Birdman
Hawajawahi fikisha hata Us dollar 1 billion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…