Huyu ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko yeyote Tanzania nzima

unawachukia tu wanaume tena bila sababu yoyote....Wewe ni jinsia gani?!

Tuache unafiki mkuu...huwezi niambia hakuna binadamu humu duniani humchukii just literally...acha unafiki be honest at least.

Entertainers wanapenda kua likable....mimi siwapendi hawa jamaa wawili...biashara zao ni muziki,ni public,na mi ni mmojawapo wa hadhira,kati ya watu mil40 nchi hii,nimetokea kuichukia kazi yao na whatever they do,I hate them for the f.uck of it.

Na kuchukia,I mean chuki haibagui jinsia,atleast acha unafiki for once.

Nawachukia tu,case closed.
 
KUMBUKA UMESHASEMA UNAMCHUKIA NDIO MAANA HATA MAMBO UNAYOYAULIZA NI CHUKI BINAFSI ULIZONAZO JUU YAKE

Ndio maana nime-declare kabisa nina chuki..

Huwenda chuki yangu ime-influence judgement yangu finally ila ku-prove hivyo inatakiwa wewe ambae huna chuki nao upo neutral utoe takwimu twende ngazi kwa ngazi tuone nani mkweli...

By the way,mimi nina chuki most likely nikatoa biased judgement na wewe mwenye "upendo" nao u are not less or more than me,u are most like kutoa the same biased judgement,hivyo anaehitajika hapa theoretically mtu asie na upendo wala chuki nao ambapo practically mtu huyo hayupo,mimi na wewe wote ni biased,case closed.
 
Kama unawachukia ni bora ungekaanalo tu unazingua haina haja kuleta hapa
 
Mkuu acha kubishana na hawa jamaa maana hawa wanahitaji kurudi chekechea waanze mwanzo kusoma namba eti 5.6 Billion dollars,
Hivi kwanza wanazijua hizo pesa walizotaja kibongo bongo,
Hizo pesa approximation ni kama Tsh. Trillion 11
Laki 1 x 10 =1m x 1,000 = 1bilioni x 1,000 = 1 trilioni, kwahiyo husidhani jamaa ni wadunia hii.
 
If Jesus is paying LeBron ,
I'm paying Dwyane Wade
 
Mimi simchukii mtu yoyote maana naamini hizo ni tabia za kike.

Ndio maana kabla hatujaanza kujadili hizo chuki zako za bila sababu kwa huyu jamaa nilitaka kujua jinsia yako.

Wewe ni JINSIA GANI?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…