Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.
Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi ila sitazitaja maana nitakuwa kama nampa promo tu .
Pointi yangu ya msingi ni kwamba huyu jamaa anamuonekano wa kimasikini sana halafu mchafu mchafu sana hajijali na anapenda uswahili kupindukia.
Kila anayopost ukiitazama utakuta miguu michafu michafu, au mazingira ni machafu machafu na mbaya zaidi ni uhalisia na sio labda yuko location ana shuti muvi.
Kwa ambao mpo karibu yake mchaneni ndugu yenu azingatie usafi na ajiweke kwenye muonekano nadhifu kidogo sio huo muonekano alionao wa kimasikini mpaka unakera.