Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.

Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi ila sitazitaja maana nitakuwa kama nampa promo tu .

Pointi yangu ya msingi ni kwamba huyu jamaa anamuonekano wa kimasikini sana halafu mchafu mchafu sana hajijali na anapenda uswahili kupindukia.

Kila anayopost ukiitazama utakuta miguu michafu michafu, au mazingira ni machafu machafu na mbaya zaidi ni uhalisia na sio labda yuko location ana shuti muvi.

Kwa ambao mpo karibu yake mchaneni ndugu yenu azingatie usafi na ajiweke kwenye muonekano nadhifu kidogo sio huo muonekano alionao wa kimasikini mpaka unakera.

madebelidai-20180913-0001.jpg
 
Uchafu wake unakuathiri nini wewe, wewe sio mke wake kwamba utalala naye upate shida kisa uchafu wake.

Uhuru wa maisha yake uache ulivyo.
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
 
Hao wasanii nadhifu wameitwa na msanii gani mkubwa kwenye kazi?
Ramsey Nouh, Omotola Jalade,Genevive, ,

Idris Sultan ameshirikishwa na wakali wa Hollwood.

Monalisa kila kukicha tunamuona akichukua tuzo mbalimbali za kinataifa nk.
 
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Mhh hao wasanii wasafi km akina wema and the like wana kioo gani kwenye jamii?
 
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
-kwa akili yako unataka apake poda kama wewe!
 
Huo ni mtazamo wako mkuu ila kila mtu ana brand yake inayomtambulisha katika jamii. Mbona Mrisho Mpoto anatembea peku peku ila anapata mashavu ya ubalozi wa matangazo yenye maana tu.

Usitake wote wafanane kimuonekano itakuwa ngumu kuwatofautisho hata enzi zake wakati yupo kwenye Heat 20% alikuwa naonekana msanii mchafu tu lakini alijizolea tuzo mbali mbali za ndani ya nchi wakati kuna hao wasanii waliokuwa wanamuonekano wa kistaa hawkufikia level yake.
 
Back
Top Bottom