Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Nyie ndio wale bongo movie mnaigiza mpo kijijini lkn mmeweka wave
 
Je umeona picha zilizowekwa na mdau mwingine hapo juu? NAZO NI MCHAFU?.. acha kuchafua watu waliotumia jitihada zao kubwa kwenye kujiinua na kujitafutia riziki yao ya halali
Ndio kwani unazionaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…