Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii
kioo cha jamii
hivi kioo cha jamii maana yake nini
na kwa nini sekta ya wasanii ndio kioo cha jamii na sio wahandisi wa ujenzi au wakulima wa mahindi
ukulima unaajiri watu wengi kuliko wote Tanzania, na mahindi ndio zao kubwa kulimwa katika yote, nilitegemea kama kigezo ni umuhimu wa tasnia kwenye jamii, au kuakisi kwa karibu taswira ya jamii, basi mkulima wa mahindi awe kioo cha jamii