Huyu ndiye msanii mwenye muonekano wa kimasikini kuliko msanii yeyote yule.

Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii

kioo cha jamii

hivi kioo cha jamii maana yake nini

na kwa nini sekta ya wasanii ndio kioo cha jamii na sio wahandisi wa ujenzi au wakulima wa mahindi

ukulima unaajiri watu wengi kuliko wote Tanzania, na mahindi ndio zao kubwa kulimwa katika yote, nilitegemea kama kigezo ni umuhimu wa tasnia kwenye jamii, au kuakisi kwa karibu taswira ya jamii, basi mkulima wa mahindi awe kioo cha jamii
 
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.

Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi ila sitazitaja maana nitakuwa kama nampa promo tu .

Pointi yangu ya msingi ni kwamba huyu jamaa anamuonekano wa kimasikini sana halafu mchafu mchafu sana hajijali na anapenda uswahili kupindukia.

Kila anayopost ukiitazama utakuta miguu michafu michafu, au mazingira ni machafu machafu na mbaya zaidi ni uhalisia na sio labda yuko location ana shuti muvi.

Kwa ambao mpo karibu yake mchaneni ndugu yenu azingatie usafi na ajiweke kwenye muonekano nadhifu kidogo sio huo muonekano alionao wa kimasikini mpaka unakera.

View attachment 864913
Hapana bhana hii nayo ina radha yake ndio maana nawe ukapata nsfasi ya kumzungumzia akitoka katika hali hiyo uisemayo atapoteza uhalisia wa yale ayatendayo.
 
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Yeye anaigiza hali hiyo haigizi uboss wala ukurugenzi na ikiigiza ustaa ayltakua munavyotake awe kwa sasa mwache awe hivyo
 
Huyu jamaa ni mchafu sio masikini.
Umasikini haukuzuii usiwe nadhifu
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili.

Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi ila sitazitaja maana nitakuwa kama nampa promo tu .

Pointi yangu ya msingi ni kwamba huyu jamaa anamuonekano wa kimasikini sana halafu mchafu mchafu sana hajijali na anapenda uswahili kupindukia.

Kila anayopost ukiitazama utakuta miguu michafu michafu, au mazingira ni machafu machafu na mbaya zaidi ni uhalisia na sio labda yuko location ana shuti muvi.

Kwa ambao mpo karibu yake mchaneni ndugu yenu azingatie usafi na ajiweke kwenye muonekano nadhifu kidogo sio huo muonekano alionao wa kimasikini mpaka unakera.

View attachment 864913
 
Wewe chupi yako Mara ya mwisho kufua lini?
Maana wachumba zako hapa mtaani kwetu wanakukimbia sana sababu ya uchafu
 
Hivi wewe jamaa wakujiita 'Hance'... huwa ni demu? kama sio demu, basi una elements za 'kuchora 7'.

Siredi zako huwa za kike kike sana... mwandiko wako unaonesha wazi unavyojua kuchambana.

-Kaveli-
 
Aisee.
 
Tatizo kubwa ni mchafu mchafu sana.
Je umemuona uvaaji wake akiwa nje ya sanaa?..je ni yapi maudhui ya hizo filamu anazoigiza, zinamtaka aweje? Je unataka kila msanii apake waves na super black kichwani!..
 
Kumbuka yeye ni msanii na kioo cha jamii pia ,sasa inakuwaje msanii unashindwa kujijali hata muonekano wako ?Kwa mwendo huu unadhani waigizaji wakubwa wa kimataifa wanaweza wakakuita kwenye kazi zao kama unadhifu tu shida?
Watamuita part ya zombies Au groot
 
Je umemuona uvaaji wake akiwa nje ya sanaa?..je ni yapi maudhui ya hizo filamu anazoigiza, zinamtaka aweje? Je unataka kila msanii apake waves na super black kichwani!..
Huyo jamaa mpaka nje ya sanaa mchafu mchafu.
 
Je umeona picha zilizowekwa na mdau mwingine hapo juu? NAZO NI MCHAFU?.. acha kuchafua watu waliotumia jitihada zao kubwa kwenye kujiinua na kujitafutia riziki yao ya halali
 
Back
Top Bottom