Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Nazipokea hongera za my wife cacico kwa niaba yake. Si mnaona navyojua kuchagua? Mbichwa haki yangu bana!Congra the winer lady Cacico!
Sasa hapa Babu huo m'bichwa !! Si ataubeba kwa crane ?
Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;[Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat
- Catherine kura 1
- CUTE kura 0
- Kongosho kura 2
- beibe nasty kura 3[* cacico kura 9
Nawasilisha

jamani ahsanteje sasa?? jumatatu mida ya jioni nitapita majukwaa yote na kivazi cha ufukweni tu! jiandaeni, lol!hureeeeee! Bibi kashindaaaaaaa! Hongera bibi yanguuuu!
wewe tena jirani yangu, wa kusema hivyooooo??hamna kitu zaidi ya kiini macho!