ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Aug 20, 2012 #41 cacico said: wewe tena jirani yangu, wa kusema hivyooooo?? Click to expand... si nawajua nyie! kila siku usiku wa manane mnachinja kuku wekundu wenye madoa meupe na your hubby Asprin Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
cacico said: wewe tena jirani yangu, wa kusema hivyooooo?? Click to expand... si nawajua nyie! kila siku usiku wa manane mnachinja kuku wekundu wenye madoa meupe na your hubby Asprin
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 Aug 20, 2012 #42 Bishanga said: The secretary,hata salam za eid? We umenichoka kweli. Click to expand... We tangu uondoke juzi hujaonekana hizo salamu ningekupea wapi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga said: The secretary,hata salam za eid? We umenichoka kweli. Click to expand... We tangu uondoke juzi hujaonekana hizo salamu ningekupea wapi
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,954 Reaction score 7,113 Aug 20, 2012 #43 Ruhazwe JR said: Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo; @catherine kura 1 @Cute kura 0 Kongosho kura 2 @beibe nasty kura 3[* cacico kura 9 [Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat Nawasilisha Click to expand... Haya matokeo sio valid, ni asilimia ngapi ya wanachitchat wamepiga kura?
Ruhazwe JR said: Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo; @catherine kura 1 @Cute kura 0 Kongosho kura 2 @beibe nasty kura 3[* cacico kura 9 [Hivyo basi nachukua nafasi hii kumtangaza rasmi miss cacico kuwa miss chitchat Nawasilisha Click to expand... Haya matokeo sio valid, ni asilimia ngapi ya wanachitchat wamepiga kura?
Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 944 Aug 20, 2012 Thread starter #44 Mwanyasi said: Haya matokeo sio valid, ni asilimia ngapi ya wanachitchat wamepiga kura? Click to expand... naomba nikuulize kwanza mkuu kabla ya kukujibu maana ndio tamaduni yenu wa-tz,tunauliza kabla ya kujibu swali, Je,kwa nini hukupiga kura?
Mwanyasi said: Haya matokeo sio valid, ni asilimia ngapi ya wanachitchat wamepiga kura? Click to expand... naomba nikuulize kwanza mkuu kabla ya kukujibu maana ndio tamaduni yenu wa-tz,tunauliza kabla ya kujibu swali, Je,kwa nini hukupiga kura?