Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Ila huyu demu ni picha za editing, ukikutana nae kasuka nywele za mistari , waweza dhania ni beki 3
 
Namuona kama ni type ya kina fettylicious vile, dera kwake kanzu, anyway, ana sauti maridhawa ya utangazaji, itoshe kusema nampenda sana huyu.
 
Tusitaniane kwenye mambo muhimu kama haya. Hebu tuanze kumjadili sasa hutu mwanamke. Hebu tuacheni utani anauzuri gani?






 
Na Mimi nashangaa sana... Mtu wa kawaida lakini anapambwaaa!!! Khaaa, yaani analazimisha wote tumpende....

Inastajabisha kweli!
 
Imepingwa hyoo[emoji23][emoji23]
 
Nilimwona kwenye filamu moja ya bongo hoods, anatukana balaa....ila ana sauti nzuri....kuhusu uzuri wa jumla nampa 47%
 
Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali

Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo

View attachment 969064View attachment 969063View attachment 969071View attachment 969073View attachment 969075

Kwa ushikaji kweli namkubali ni mshikaji, hanaga noma na mtu huyu Dada...ingawa ushkaji umekuwa mwingi kiasi kwamba hadi naanza kuhisi ni tom boy labda 😁😁😁.

Ila kusema kuwa ni mrembo kuliko watangazaji wote TZ hapo umetudanganya.

Alafu huyu dem anatokaga Arusha kama sijakosea ndiyo maana ushkaji mwingi kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…