pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Zanzibar moja hyoKwa ushikaji kweli namkubali ni mshikaji, hanaga noma na mtu huyu Dada...ingawa ushkaji umekuwa mwingi kiasi kwamba hadi naanza kuhisi ni tom boy labda [emoji16][emoji16][emoji16].
Ila kusema kuwa ni mrembo kuliko watangazaji wote TZ hapo umetudanganya.
Alafu huyu dem anatokaga Arusha kama sijakosea ndiyo maana ushkaji mwingi kuliko