Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

Kwa ushikaji kweli namkubali ni mshikaji, hanaga noma na mtu huyu Dada...ingawa ushkaji umekuwa mwingi kiasi kwamba hadi naanza kuhisi ni tom boy labda [emoji16][emoji16][emoji16].

Ila kusema kuwa ni mrembo kuliko watangazaji wote TZ hapo umetudanganya.

Alafu huyu dem anatokaga Arusha kama sijakosea ndiyo maana ushkaji mwingi kuliko
Zanzibar moja hyo
 
Umetumia kiegezo gani labda kusema kwmba ndie mrembo?
Warembo wapo wengi sana huyo hata top 20 haingii mzee pole
 
Elizabeth Mramba kamzidi huyo
images-4.jpg
IMG_20210114_164308_911.jpg
IMG_20210114_164416_787.jpg
IMG_20210114_164435_265.jpg
IMG_20210114_164514_773.jpg
IMG_20210114_164454_705.jpg
IMG_20210114_164336_637.jpg
IMG_20210114_164535_131.jpg
 
Hahahaaaaaaaa kweli kilaza. Kwanza hakustahili hata kuwa mtangazaji anasauti mbaya hatari, ana sura mbaya duuh. Kavae miwani kisha kaangalie vipindi vyote kwenye Tv zote kisha urudi kifuta uzi wako huu.
 
Back
Top Bottom