Huyu ndiye mtanzania na mwanamitindo wa kwanza akaunti yake ya Facebook kuwa verified

Huyu ndiye mtanzania na mwanamitindo wa kwanza akaunti yake ya Facebook kuwa verified

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Flaviana Matata ni jina linalofahamika zaidi hapa Tanzania na hata nje ya Tanzania, Flaviana ambaye alizaliwa June 9, 1987 (age 26), Shinyanga, Tanzania Amekuwa ndiye mtanzania wa kwanza kwa akaunti yake ye facebook kuwa Verified na kuwa official kwa kuwepo alama ya Tiki katika akaunti yake inavoonekana hapa chini
Kampuni ya Tigo Tanzania ilikuwa ndiyo ya kwanza kuwa Verified katika mtandao wa kijamii wa facebook, Twitter msanii wa kwanza kukubaliwa na kuwa verified ni Ay.
 
Ila mkuu verification ukiwa msanii nilivyosoma sheria za twitter na facebook si ngumu kivile sema itachukua mda kidogo,kwanza wataangalia ulivyo popular halafu wataangalia uwingi wa watu wanaotumia jina lako kufungua account zingine,so wakiona wengi wanatumia jina lako ndo unawatumia scanned documents halafu wataverify
 
ila twitter wamejitahidi kuwa verify mastaa wetu nadhan kama wa 4 hivi 1. kikwete 2. hasheem 3. AY 4.january makamba
 
ila twitter wamejitahidi kuwa verifiefy mastaa wetu nadhan kama wa 4 hivi 1. kikwete 2. hasheem 3. AY 4.january makamba


kikwete na makamba nao ma star kumbe ! ! Majanga haya !
 
Ndio maanake nini akiwekewa hiyo tikiii
 
msaada kwenye tuta,,

what is verification about kwenye hizi social networks,,,???

aliyekua verified anapata faida gani,????

sisi ambao hatuko verified hizo social networks inamaana hazijui kama tupo?????

na je ,,,being unverified, what loss do we get?????
 
mkuu umejuwaje kwamba huyu ndio mtanzania wa kwanza?

unafahamu Salim kikeke wa dira ya dunia bbc london pia ni verified user in Facebook page?
 
Binafsi sijaona umuhimu wa kuwa verified!!! Labda mtu aueleze hapa jamvini
 
Hakuna uthibitisho usio na shaka kuwa huyu ndie wa kwanza. Kikeke,Hasheem nao haijajulikana ni lini? Flaviana anafanya vizuri sana,hongera kwake.
 
Hakuna uthibitisho usio na shaka kuwa huyu ndie wa kwanza. Kikeke,Hasheem nao haijajulikana ni lini? Flaviana anafanya vizuri sana,hongera kwake.

Obvious Hasheem anaweza kuwa wa kwanza maana twitter alikuwa verified zamani kushinda wengine na facebook wameiga verification baada ya twitter kufanya hivyo kitambo na kipindi facebook wanaanza kuverify page akina hasheem walishakuwa verified tayari kule twitter.
 
Back
Top Bottom