Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
ila twitter wamejitahidi kuwa verifiefy mastaa wetu nadhan kama wa 4 hivi 1. kikwete 2. hasheem 3. AY 4.january makamba
kikwete na makamba nao ma star kumbe ! ! Majanga haya !
kikwete na makamba nao ma star kumbe ! ! Majanga haya !
kumbe ni manini?
ila twitter wamejitahidi kuwa verify mastaa wetu nadhan kama wa 4 hivi 1. kikwete 2. hasheem 3. AY 4.january makamba
Kikwete ni star wa nini?
wewe haujawa verified ?Id yako na swali lako limenifanya nitafakari jibu..nimeishia kusmile tu! Lol
Hakuna uthibitisho usio na shaka kuwa huyu ndie wa kwanza. Kikeke,Hasheem nao haijajulikana ni lini? Flaviana anafanya vizuri sana,hongera kwake.
wewe haujawa verified ?