Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali.

Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto mdogo kwenye hiyo video hapo chini.
 

Attachments

  • Motorcycle brake shoe making It-s Amazing-.mp4
    41.1 MB
Sisi akili nguvu tunawazalisha wabongo fleva kwanza

Ova
 
Kwa akili hizi za Simba na Yanga tusitarajie ya maana.
Bongo wapo watu wanaunganisha hayo ma breki kwa gundi
 
Bongo ukianzisha kakiwanda tu hata kwenye yard yako..jipange kwa haya.

Osha
Tbs
Wcf
Tra
Sido
Polisi
Nemc

Wote hao wanakuja kusaka pesa..wala sio kukusupport ukuwe kibishara.

Bado zengwe kwa waagiza vipuli watakuletea watu waselikari ili wakupige ban..ili wao wendelee kuagiza kutoka china.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom