FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nadhani wawezeshwe ili kufanya on a small industrial scale kibiashara, bidhaa ziingie sokoniBreka shou wahuni wanabondi tu mtaani... big idea hiyo
Safi sana, ni wapi na brand name ipi wanatumia?Hata hapa zinatengenezwa...
Ni vizuri sasa wawezeshwe kufanya kibishara kwa viwanda vidogo vidogo, na brands zao ziingie sokoniKwa akili hizi za Simba na Yanga tusitarajie ya maana.
Bongo wapo watu wanaunganisha hayo ma breki kwa gundi