Huyu ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani

Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo

Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake

Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimua
 
Automatically wanawake weusi kama hao huwa wamoto, wekundu kwa ndani, yani inakuwa Nyekundu na joto la kutosha.... Halafu wanakuwa hawanuki bali wananukia kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…