Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo
Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake
Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimua