Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
-
- #41
Yaani mimi maji ya kunde. Alafu mke awe mweusi?
Nambye nan anamzidi uzuri bashite ?Bashite ni mrembo pia teh
Nakazia....Hawezi kuwa mrembo dunia nzima huyu,,, hamfikii mke wangu hata theluthi
Bila chura hakuna uzuri hapoHuyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo
Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake
Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
daaahTako analo???
hell no she's black yes but no man try again..and remember the beauty of somebody rely in somebody who;s looking to themHuyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo
Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake
Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
Mweee kwahiyo mkeo mweusi zaidi yahuyoHawezi kuwa mrembo dunia nzima huyu,,, hamfikii mke wangu hata theluthi
[emoji16] hapo kwa wekundu kwa ndani umenikumbusha jamboAutomatically wanawake weusi kama hao huwa wamoto, wekundu kwa ndani, yani inakuwa Nyekundu na joto la kutosha.... Halafu wanakuwa hawanuki bali wananukia kike
Nimekuja mbio sana nikajua Cheupe dawa wangu!
Kumbe ni African beauty
"Siri ya mtungi aijuaye ni kata"Ana urembo gani sasa huyo hata bashite kamzidi
Acha theluthi hata thuduthi au thumni, kila mtu na chaguzi lake brother.Cheupe dawa wako hawezi kufikia hata theluthi tu ya warembo weusi.
Ukibisha nakupa pole lkn kwa ushahidi zaidi ulizia Me waliowahi kuwa na mahusiano kati yao wote wawili( black and white beautiful girls) wakujibu mubashara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tako analo???