kuna mambo mengine ukisoma unacheka tu.. kila mtu abaki na mzuri wake katika ubongo wake kwa namna ilivyotafasiriwa picha yake mengine tumwachie mungu ajibu nani ni mzuri kuliko wanawake wote duniani huyo tu anazidiwa na housegirl wa mother kiom halafu mnasema ati ni mrembo bora wa duniani duh