Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Wala siyo rangi!Huo ni mtazamo wako!Tatizo mnapenda kuangalia rangi Sio na mmekaririshwa rangi nyeupe na nywele ndefu ndio uzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala siyo rangi!Huo ni mtazamo wako!Tatizo mnapenda kuangalia rangi Sio na mmekaririshwa rangi nyeupe na nywele ndefu ndio uzuri
Kudos .....!Una experience ya kutosha mkuu -- asante kwa kutuwakilisha vyema wanaume wenzako
Eeeeh kaka nampa hongera huyu dada kutunza asili yake.Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo
Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake
Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
TAKO VPHuyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani
Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo
Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake
Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
Kaka wasichana weupe sio wazuri.sintokuja kuoa mwanamke mweusi.
Weupe ndo ugonjwa Wangu
Ila mkuu kusema Wasudan ndio walikua wanamiliki misri hiyo chai tena yamoto kinyama.Kuamini kwako hakuhalalishi uongo kuwa ukweli
Pharaoh ilikuwa MTU mweusi misiri ilikuwa nchi ya MTU mweusi
Mzee wewe unasema pure ancient jew mwenzako anatupa chai kuwa ni original Egyptians kabla waarabu hawajawafukuza.10000000000000000% pure ancient Jews.
South Sudan ni mojawapo ya nchi/watu wake hawazungumziwe kuwa ndio wana halisi wa Israel.
Mzee mwenzangu rejea maandiko kitabu cha Ayubu.Mzee wewe unasema pure ancient jew mwenzako anatupa chai kuwa ni original Egyptians kabla waarabu hawajawafukuza.
Which is which ?!
AseeeeeAutomatically wanawake weusi kama hao huwa wamoto, wekundu kwa ndani, yani inakuwa Nyekundu na joto la kutosha.... Halafu wanakuwa hawanuki bali wananukia kike
wanatumia sana medicated soap halafu wanaosha nyapu kwa kuochokonoa ndani wanatoa no wonder wanaugua sana fangas ukeniwanawake wengi wa siku hizi wanakosa ile haruf ya asili ya uchi,sijui wanatumia sana madawa au ndo UTI imeharibu ile gland ya kike
Hahaha Asante mkuuEeeeh kaka nampa hongera huyu dada kutunza asili yake.
Lakin ingekuwa Tz angeshakunywa mkorogo mapeeemaa.
Ila mmmh sio kwa ublack manizo huo aisee.
Aah ni mrembo kwa mtazamo wako ila sio dunia nzima we mtu anachafua mkaa duuuuh