Huyu ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani

yupo vizuri natamani nipate kama huyu, watu wakisema mbaya nazidi kumpenda hadi waseme nimepewa limbwata wamuogope
 
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani

Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo

Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake

Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
Eeeeh kaka nampa hongera huyu dada kutunza asili yake.
Lakin ingekuwa Tz angeshakunywa mkorogo mapeeemaa.
Ila mmmh sio kwa ublack manizo huo aisee.
Aah ni mrembo kwa mtazamo wako ila sio dunia nzima we mtu anachafua mkaa duuuuh
 
TAKO VP
 
Kuamini kwako hakuhalalishi uongo kuwa ukweli
Pharaoh ilikuwa MTU mweusi misiri ilikuwa nchi ya MTU mweusi
Ila mkuu kusema Wasudan ndio walikua wanamiliki misri hiyo chai tena yamoto kinyama.
Kasome history vizuri.
 
10000000000000000% pure ancient Jews.
South Sudan ni mojawapo ya nchi/watu wake hawazungumziwe kuwa ndio wana halisi wa Israel.
Mzee wewe unasema pure ancient jew mwenzako anatupa chai kuwa ni original Egyptians kabla waarabu hawajawafukuza.
Which is which ?!
 
Mzee mwenzangu rejea maandiko kitabu cha Ayubu.
 
Mkuu acha ujinga basi,hivi unaelewa maana ya Dunia nzima????
 
wanawake wengi wa siku hizi wanakosa ile haruf ya asili ya uchi,sijui wanatumia sana madawa au ndo UTI imeharibu ile gland ya kike
wanatumia sana medicated soap halafu wanaosha nyapu kwa kuochokonoa ndani wanatoa no wonder wanaugua sana fangas ukeni
 
Wazungu hata wakimuona sokwe wanakwambia "too cute"
 
Eeeeh kaka nampa hongera huyu dada kutunza asili yake.
Lakin ingekuwa Tz angeshakunywa mkorogo mapeeemaa.
Ila mmmh sio kwa ublack manizo huo aisee.
Aah ni mrembo kwa mtazamo wako ila sio dunia nzima we mtu anachafua mkaa duuuuh
Hahaha Asante mkuu
 
Back
Top Bottom