Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujionee