Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika

Pengine ni kweli unachosema na pengine sio kweli , pengine wapo wa kali zaidi , sema huwajui wewe kwakuwa wapo mbali na upeo wako jamaaa

Hebu tutupie picha yake ambayo yupo natural hana make up wala mapoudaaa tuhakikishe kama kweli ni urembo wake aiseee jamaaa
 
Angalia hapa Binti PK halaf hajapaka makeup hapa ni natural....siku nyingine uache kufananisha upuuzi na vitu vya maana
 
Umetumia vigezo gani?

Umemshirikisha Lundenga kwenye hitimisho lako?

Ongeza nyama thread yako uwa convice watu wakuunge mkono
 
Ndio nani huyo...[emoji45] [emoji15] [emoji15]
 
Vijana hawachelewi kunyetuka na hicho kifua...tehteehh
 
Urembo was PowerPoint...
 
Hapo ana layer kama 3 za make up baadae anaenda kujivua käma nyoka anavyojitoa gamba
 
Lol... ukikutana nae live bila make up utakuja mbio kufuta uzi wako na kuomba msamaha kwa wana East Africa nzima.
 
Mbona hawezi kusmile??? na inawezekana kabisa amejaladia uso sana .
 
To honest i like Zari but my wife is the most beautiful lady in my heart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…