Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

Bombu,kama tungepata malezi bora tusingekua na haya leo,maneno kama golikipa ni maneno ya kijinga ya watu wachache,na waliokosa malezi pia!Umuhimu wa mwanamke katika malezi bora ya mtoto haukwepeki!

Eiyer mtazamo wako uko very interesting....

na nimependa saana the way King'asti kaelezea....

Hebu fafanua hapo kidogo!Sijakuelewa!

Mr Rocky nilichotaka kusema ni kujaribu kufungua akili zetu kuhusu shida iliyopo duniani sasa,huyo mwanaume unaemsema kumbuka malezi ndo yamemfanya awe hivyo na mlezi mkuu wa familia ni mwanamke ambae hataki tena jukumu lake kutokana na kuamini kwake kuwa anaonewa!

Yote haya ni zao la ukosefu wa malezi ambayo ni jukumu la mwanamke!

umeongea kweli tupuuuuuuuuuuu..lakin kaka maisha aya si yale...wataka tukae home tu na jukumu kubwa ni kulea watoto ili kuwaunda katika maadili na maarifa mema ili waje kuwa viongozi/watu wema apo badaye lakin je KATIKA UAHALISIA MAISHA AYO YAPO?

1.ukae tu home mume alete kila siku?....kula ,ada....na matumizi mengne....ataweza peke yake?

2.mara ngap umeskia kes ahhh mis tak kuoa golikipa?unadhani wanamaanisha nin?

3.MARA NGAP umeskia mwanamke analalamika kusimangwa na mmewe kisa hana kaz/anamtegemea yeye tu?

4.MARA NGAP WANAUMAE WAMETELEKEZA FAMILIA..??.....NO ADA KWA WATOTO,NO CHAKULA..NO WAT NO WAT....then apo mama bado tu akubali kujikalisha ata km ana channel za kujipatia sh 10 yake?

WANAUME WENG WANABADIRIKA ...leo anakupa kesho akimpata mwajuma chup 7 basi sahau aupat tena na km alikuwa nakupa elfu 10 kwa siku bas utapewa mia 5....sasa inatosha nini?au usiipate kabisaaaaa...

note;USIWALAUMU WANAWAKE KWA KUJIIINGIZA KWENYE IZO ULIZOZIITA KAZ ZA WANAUME...MUDA /HALI IMEFANYA WANAWAKE WAINGIE MZIGONI KUTAFUTA NOTE NA WALA SI KWA MAPENZ YAO BALI HALI YENYEWE IMEAWAFORCE.

NAWASILISHA.

Eiyer, we ni mwanamke? Basi sisi wanawake hatujasababisha matatizo ila uzembe na ujeuri wa kina baba ndo unachangia yote haya.

No niliposema sisi nilikuwa simaanishi kuwa mimi ni mwanamke ila nilimaanisha sisi wanadam!Duh!

Yote haya ni zao la ukosefu wa malezi ambayo ni jukumu la mwanamke!

duu wanaume wanapenda kusingizia/kulaumu wanawake...yaani ata mkifumaniwa leo ...utamwambiua mkeo i ni kaz ya malez ya mwanamke mwenzio....au ili ni kosa lako/umeasababisha wewe.....kukubali kosa inakuwa shda sana kwa wanaume weng....

yaan mkeo kasafiri wewe umehamia kwa nyumba ndogo then useme i ni kazi ya malez ya mwanamke..dahhhh akyanani nataman nikugeche!:fish:

Dada Rose,kwanza nakushukuru kwa kukubali,pia nakubaliana na wewe kuwa uhalisia wa maisha hayo haupo!So kama haupo now days tufanye nini?Tukae tu?Hey!We need to do something!Kwani kuna ubaya tukianzia hapa?Tena ndo kwenye mzizi wa tatizo,mwanamke ndo ameshikilia mtazamo na afya ya mwanadamu kwani jambo hili huanzia tumboni,mama mjamzito hushare hisia,feelings,chakula n.k,hebu fikiria fujo,msongo wa mawazo,maudhi n.k yaliyopo ofisini halafu uniambie huyo mtoto aje kuwa salama?Not at all!

No niliposema sisi nilikuwa simaanishi kuwa mimi ni mwanamke ila nilimaanisha sisi wanadam!Duh!

Asante kwakuwa umekubali kuwa tatizo ni la wote na si mwanamke peke yake, so natuzibebe hizo lawama sisi sote!

Nafikiri dada yangu hujui ni wakati gani tabia na mitazamo ya mtu hujengwa,kama ulikua hujui ni wakati wa malezi,hata wewe mitazamo yote uliyonayo leo ni kutokana na namna ulivyolelewa!Hakuna kuku anaetaga yai viza ila uatamiaji wa huyo kuku ndo utakaosababisha uviza wa yai!

Duu hii kimtindo inanigusa, mimi na mke wangu wote ni wafanya kazi za kuajiriwa, Makazi yetu ni Tegeta tunafanya kazi Posta, tunatoka nyumbani kila siku saa 11 nanusu alfajiri na tunafika nyumbani saa mbili na nusu usiku na kuendelea kutegemeana na Foleni ya siku hiyo. Kinachotokea wakati wa mapumziko au weekends ni kwamba mwanetu wa miezi tisa nikiwa nime mbeba akimuona dada yake(House girl) anapita humlilia maana yeye ndo kamzoea kuliko mimi, hilo hujitokeza pia anapo maliza tuu kunyonya anamlilia dada yake maana sisi hajatuzoea. Huwa nafikiria mmoja kati yetu aache kazi akae kulea mtoto lakini nikifikiria thamani ya Shilingi kwa sasa nanywea

Nilitegemea mwanzisha mada angegombaniwa kama mpira wa kona lakini wapi.

Asante kwakuwa umekubali kuwa tatizo ni la wote na si mwanamke peke yake, so natuzibebe hizo lawama sisi sote!

Yap!Unajua mtu anapokuja akakushauri jambo la kijinga ukalikuali wote mnakuwa matatizoni ila kwa nafasi tofauti!

Naunga mkono hoja! Mtoto bila malez kamili ya mama ni hatari.

Mnahitaji ukweli gani ulio wazi tofauti na huu?

teh teh teh teh Rose umewaza mbali sana mamito lol

Naunga mkono hoja! Mtoto bila malez kamili ya mama ni hatari.

Tena ni hatari sana!Matatizo yote tuliyonayo ni matokeo ya hii kitu!Kama tunajipenda tubadilike!

Umejitafutia makubwa!

Usijali,mimi sioni tatizo kusema kile ninachokiamini kuwa ni sawa,inatakiwa wanipruv wrong!Kama niko sawa there is nothing wrong Okada!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…