Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Matumizi hapati au anapata kwa nadra sana. Pesa yenyewe haioni inaishia nyumba ndogo, kwa hiyo watakula mawe? Mama kasafiri baba anahamia nyumba ndogo achilia mbali kuleta vimada ndani huku watoto wakishudia. Leo hii bado mama anazidi kulaumiwa tu!
Kila kukicha kumekuwa kukitotea mambo mengi sana mema na mabaya katika maisha ya mwanadam,lakini wataalam wa saikolojia wamekuwa wakisema kila siku kuwa binadam huwa kama alivyo kutokama na malezi yake,na tatizo kubwa la matukio yanayotokea leo,ikiwemo kwenye mahusiano ni malezi yaleyale,asilimia yetu kubwa hatukupata malezi ya baba na mama kutokana na wazazi wetu kukosa muda wa kuwa nasi,kazi zao ndo zimekuwa shida!Mama ndie alikuwa na jukumu hili,lakini leo ameicha kazi hii ya thamani ya kumjenga mwanadamu nae anaenda kwenye mapilika ya mwanaume akidhani ndiyo maisha bora,kumbe hakujua kuwa,alipoonekana raisi bora ni mama alimfanya awe bora,as well as meneja yoyote,waziri,mwanamuziki na wagunduzi wa vifaa mbalimbali na n.k,hawa walikuwa ni matokeo ya ubora wa kazi ya mama,thamani yake ilikuwa halisi ndo maana kukawa na kauli kama 'nani kama mama'?Hii ilitokana na shughuli nzuri ya malezi ya mama,ndio maana walisema ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima,hii ilitokana na nafasi aliyokuwa nayo!Huyu ndie mwanamke mwenye thamani ya ukweli!Leo wanadamu tumekuwa na tabia za ajabu coz tumekosa hayo,tumelelewa na mahause girl ambao wanamatatizo mengi huku mama akienda kufanya kazi asiyomhusu,tena kazi isiyokuwa na thamani yake,Nani alimdanganya mwanamke kuwa uwaziri au urais ni bora kuliko kutengeneza tabia ya huyo waziri ambayo uadilifu wa kazi yake ni sifa tosha kwa mama?Wanawake amkeni mmedanganywa!

Eiyer, we ni mwanamke? Basi sisi wanawake hatujasababisha matatizo ila uzembe na ujeuri wa kina baba ndo unachangia yote haya.

Yote haya ni zao la ukosefu wa malezi ambayo ni jukumu la mwanamke!

No niliposema sisi nilikuwa simaanishi kuwa mimi ni mwanamke ila nilimaanisha sisi wanadam!Duh!

duu wanaume wanapenda kusingizia/kulaumu wanawake...yaani ata mkifumaniwa leo ...utamwambiua mkeo i ni kaz ya malez ya mwanamke mwenzio....au ili ni kosa lako/umeasababisha wewe.....kukubali kosa inakuwa shda sana kwa wanaume weng....

yaan mkeo kasafiri wewe umehamia kwa nyumba ndogo then useme i ni kazi ya malez ya mwanamke..dahhhh akyanani nataman nikugeche!
nemo,thanks.
eiyer,if there is one thing a woman can do perfectly is multi-tasking! kuwa na nafasi ya kisiasa, ama kazi ofisini haizuii mwanamke kutimiza majukumu yake kama mama, mke na mwanamke katika jamii yake. hebu turudi kwanza kwenye mzizi: je wako wapi wanaume providers, wenye kutunza familia zao? kila kukicha wanaume wanalalamikiwa kuwa 'marioo',anataka lifti apige na honi! kila ukicha, wanaume wanahamia nyumba ndogo na kuzitukuza kwa bidii. na kama mwanaume akifariki bahati mbaya,mjane atanyanyaswa japo wakati mwingine kipato chake kilikuwa kikubwa kuliko cha mume watamnyng'anya hadi masufuria!! sipati picha kwa 'golikipa' manake nadhani hadi nguo za ndani watachukua!gggrrrhhh!
my take is: the blame game will not take us anywhere.
1 lakini hali ilivyo inalazimisha mwanamke kutoka ndani na kutanua wigo wa kipato. maisha yamekuwa magumu sana,kipato cha mwanaume pekee hakitoshi kwa mahitaji ya familia (read 'extended familia ya kiafrika,lol).
2 malezi ya watoto ni kusaidiana baina ya baba na mama. wamama tujitahidi, na wababa msinawe mikono.
3 malezi ya watoto ni kumuomba Mungu tu na kufanya sehemu yako kama bin adam! kuna familia inalelewa vizuri sana, mwisho wa siku unakuta mtoto mmoja katokea tofauti kabisa. sidhani kama anakuwa kakosa malezi bora...

Asante kwakuwa umekubali kuwa tatizo ni la wote na si mwanamke peke yake, so natuzibebe hizo lawama sisi sote!

NEMO,this is reality,kama tunataka kupafanya duniani kuwa mahali pa amani na pazuri pa kuishi hayo ndo ya kufanya,turudi kwenye ukweli na uhalisia,wala Mungu hakukosea kupanga hayo majukumu,simlaumu mwanamke kwa kufeli kwetu wanaume bali nazungumzia hali hailisi,huko kuamka unakokusema wewe sijui ni kupi,wataalam wamezungumzia tatizo hili kuwa chanzo chake ni kukosa malezi hasa ya mama,na matatizo yalianza pale mama alipoanza kutoka kuzurula nje,nani alikuambia kuwa kazia maofisini ni bora?Ondoa uongo huu kichwani!

Duu hii kimtindo inanigusa, mimi na mke wangu wote ni wafanya kazi za kuajiriwa, Makazi yetu ni Tegeta tunafanya kazi Posta, tunatoka nyumbani kila siku saa 11 nanusu alfajiri na tunafika nyumbani saa mbili na nusu usiku na kuendelea kutegemeana na Foleni ya siku hiyo. Kinachotokea wakati wa mapumziko au weekends ni kwamba mwanetu wa miezi tisa nikiwa nime mbeba akimuona dada yake(House girl) anapita humlilia maana yeye ndo kamzoea kuliko mimi, hilo hujitokeza pia anapo maliza tuu kunyonya anamlilia dada yake maana sisi hajatuzoea. Huwa nafikiria mmoja kati yetu aache kazi akae kulea mtoto lakini nikifikiria thamani ya Shilingi kwa sasa nanywea
duu wanaume wanapenda kusingizia/kulaumu wanawake...yaani ata mkifumaniwa leo ...utamwambiua mkeo i ni kaz ya malez ya mwanamke mwenzio....au ili ni kosa lako/umeasababisha wewe.....kukubali kosa inakuwa shda sana kwa wanaume weng....

yaan mkeo kasafiri wewe umehamia kwa nyumba ndogo then useme i ni kazi ya malez ya mwanamke..dahhhh akyanani nataman nikugeche!

Naunga mkono hoja! Mtoto bila malez kamili ya mama ni hatari.