Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

Ki ukweli hali halisi ya maisha inalazimisha wote wawili kutoka na kutafuta shilingi. Ingawa ukija kwenye swala zima la uhalisia wa malezi na tabia ya mtoto anahitaji muda zaidi na wazazi wake kuliko hali halisi ya sasa ya familia zetu nyingi. Kuacha kazi kwa mzazi mmoja kwa ajili ya kulea ni ngumu katika mchakato wa kusaidiana maisha na kiuchumi. Si ungi mkono hoja.

Nafikiri dada yangu hujui ni wakati gani tabia na mitazamo ya mtu hujengwa,kama ulikua hujui ni wakati wa malezi,hata wewe mitazamo yote uliyonayo leo ni kutokana na namna ulivyolelewa!Hakuna kuku anaetaga yai viza ila uatamiaji wa huyo kuku ndo utakaosababisha uviza wa yai!

nadhan wewe ndo uji
n ur so bias

open your mind boy n THK KWA UJMLA WAKE NINI KIMESABABISHA WANAWAKE WAINGIE MZIGON KABLA AUJALAUMU WANAWAKE KUTOKAA NYUMBAN....

usiwaze ukiwa kwenye boksi...toka kwenye boksi....

na kuhusu kujua tabia/mitazamo/mwenendo wa mwanaadamu unajengwa kipind /wakat gan....kivip?LABDA NIKUFUNDISHE WEWE CZ NDO FIELD YANGU

usipende kuconclude jambo kwa kutumia nadharia moja....PANUA macho tazama kwa makin case study chukulia tz ili iwe rahisi kwako then come bak m wtng 4u here

Dada Rose,kwanza nakushukuru kwa kukubali,pia nakubaliana na wewe kuwa uhalisia wa maisha hayo haupo!So kama haupo now days tufanye nini?Tukae tu?Hey!We need to do something!Kwani kuna ubaya tukianzia hapa?Tena ndo kwenye mzizi wa tatizo,mwanamke ndo ameshikilia mtazamo na afya ya mwanadamu kwani jambo hili huanzia tumboni,mama mjamzito hushare hisia,feelings,chakula n.k,hebu fikiria fujo,msongo wa mawazo,maudhi n.k yaliyopo ofisini halafu uniambie huyo mtoto aje kuwa salama?Not at all!

yaan acha tu kaka yangu

uyu mwandishi wa mada sjui kachapwa na mamayake leo manake dah...tuhuma moja kwa moja as if ajui kwa nini...sjui anaisha dunia gan..

he is so narrow.... I TOLD HIM..KI UHALISISA YES ILIBID IWE IVO ATA KWENYE MAANDIKO imeonyeshwa ivo MWANAMKE KI HOME HOME ANALEA WATOTO N ol domestics MWANAUME NDO AINGIE VCHAKAN KUTAFUTA NA KULETA MKATE HOME ...lakin kwa maisha aya ya sasa hali iyo aipo...na si km wanawake wamependa kwenda mzigon ni hali imekuwwa ivyo..
na katika malez uwez kumtusi mwanamke peke yake ata wanaume wengne wanakuwa role moddel wabaya sana kwa watoto ....

yes kutokuwepo kwa malez ya mama 24/7 home yanachangia watoto kutokwenda kwenye mstari mwema bt STILL ISN SUFFICIENT REASON KUWANYOSHEA VDOLE WANAWAKE ET NDO CHANZO....

WE MWANDISH ebu waza kwa mapana...usiwaze kwa chuk tu juu yua wanawake...angalia kwwa mapana nini kinasababisha...

wangap wamesomeshwa na mama zao tu..wakat mding upo anakunywa tu pombe?
apo utasemaje sasaa?
mama asingeenda kuuza ndizi ili apate sent za kukulipia ada?

mama asingeangaika kutafuta pesa za dawa ukiumwa?

we mwandish naomba umri pls nisije nkawa natoa sh 10 kumbe kiwango chako ni sumni moja...

Ki ukweli hali halisi ya maisha inalazimisha wote wawili kutoka na kutafuta shilingi. Ingawa ukija kwenye swala zima la uhalisia wa malezi na tabia ya mtoto anahitaji muda zaidi na wazazi wake kuliko hali halisi ya sasa ya familia zetu nyingi. Kuacha kazi kwa mzazi mmoja kwa ajili ya kulea ni ngumu katika mchakato wa kusaidiana maisha na kiuchumi. Si ungi mkono hoja.

Ni rahisi sana,kila mwenye jukumu lake akilifanya vyema familia itakuwa bomba sana!Usiogope huo ndio ukweli!

Eiyer kuna ukweli fulani kwenye yale uliyosema ...lakini embu msome Rose1980 halafu uangalie na hali halisi ya maisha kama yale uliyosema yanaweza kufuatwa kwa asilimia zote.

umeongea kweli tupuuuuuuuuuuu..lakin kaka maisha aya si yale...wataka tukae home tu na jukumu kubwa ni kulea watoto ili kuwaunda katika maadili na maarifa mema ili waje kuwa viongozi/watu wema apo badaye lakin je KATIKA UAHALISIA MAISHA AYO YAPO?

1.ukae tu home mume alete kila siku?....kula ,ada....na matumizi mengne....ataweza peke yake?

2.mara ngap umeskia kes ahhh mis tak kuoa golikipa?unadhani wanamaanisha nin?

3.MARA NGAP umeskia mwanamke analalamika kusimangwa na mmewe kisa hana kaz/anamtegemea yeye tu?

4.MARA NGAP WANAUMAE WAMETELEKEZA FAMILIA..??.....NO ADA KWA WATOTO,NO CHAKULA..NO WAT NO WAT....then apo mama bado tu akubali kujikalisha ata km ana channel za kujipatia sh 10 yake?

WANAUME WENG WANABADIRIKA ...leo anakupa kesho akimpata mwajuma chup 7 basi sahau aupat tena na km alikuwa nakupa elfu 10 kwa siku bas utapewa mia 5....sasa inatosha nini?au usiipate kabisaaaaa...

note;USIWALAUMU WANAWAKE KWA KUJIIINGIZA KWENYE IZO ULIZOZIITA KAZ ZA WANAUME...MUDA /HALI IMEFANYA WANAWAKE WAINGIE MZIGONI KUTAFUTA NOTE NA WALA SI KWA MAPENZ YAO BALI HALI YENYEWE IMEAWAFORCE.

NAWASILISHA.

Ahh! Wabeijing bana! napita tu wapenzi naona mmehamua kunyukana acha kwa hili niwe mtazamaji kwanza ...Comments reserverd!

nadhan wewe ndo uji

n ur so bias

open your mind boy n THK KWA UJMLA WAKE NINI KIMESABABISHA WANAWAKE WAINGIE MZIGON KABLA AUJALAUMU WANAWAKE KUTOKAA NYUMBAN....

usiwaze ukiwa kwenye boksi...toka kwenye boksi....

na kuhusu kujua tabia/mitazamo/mwenendo wa mwanaadamu unajengwa kipind /wakat gan....kivip?LABDA NIKUFUNDISHE WEWE CZ NDO FIELD YANGU

usipende kuconclude jambo kwa kutumia nadharia moja....PANUA macho tazama kwa makin case study chukulia tz ili iwe rahisi kwako then come bak m wtng 4u here

Nafikiri wewe ndo utoke nje ya box,tazama mfano wa kuku na yai utajua tatizo lilipoanzia!

NEMO,this is reality,kama tunataka kupafanya duniani kuwa mahali pa amani na pazuri pa kuishi hayo ndo ya kufanya,turudi kwenye ukweli na uhalisia,wala Mungu hakukosea kupanga hayo majukumu,simlaumu mwanamke kwa kufeli kwetu wanaume bali nazungumzia hali hailisi,huko kuamka unakokusema wewe sijui ni kupi,wataalam wamezungumzia tatizo hili kuwa chanzo chake ni kukosa malezi hasa ya mama,na matatizo yalianza pale mama alipoanza kutoka kuzurula nje,nani alikuambia kuwa kazia maofisini ni bora?Ondoa uongo huu kichwani!

Hayo majukumu mbona yalikuwepo tangu kale??if you are a christian, soma provebs chapter 30 and 31 uone wanavomsifia mwanamke anaye jishughulisha na uzalishaji mali kutunza mume na kulea watoto!siku hizi 'kufuma sufi na kulima mbogamboga ' ndo kusoma,kupata degree,kuingia ofisini na kusaidia hela ya mboga nyumbani!!halafu-mbona eva alikuwa 'full time mother' na mwanaye bado akawa muuwaji-am talking of cain..lets not be so backward without analysing issues!

Mkuu Eiyer umeeleweka,salute!wakati ww unaongelea chanzo cha tatzo wadada wanaongelea matokeo ya tatzo,hapa hamuwezi kuelewana...labda tu kumaliza mzizi wa fitina hebu waulize akina dada/mama ni nn nafasi ya mama katika malezi ya mtoto/familia alafu tuwaulize akina kaka/baba nao swali hilohilo alafu tuangalie mapungufu ya pande hizi kisaikolojia na kimakuzi

Ntarudi baadae.

Eiyer

Naomba kuuliza kabla sijakomenti je wewe unakumbu kumbu mbaya za utotoni?

Nataka kuelewa imekuwaje umeandika uliyoandika.

Eiyer..

Chukulia Idea yako imefanikiwa..,then jamii imemfanya mwanamke kuwa mlezi wa familia.,na mwanamme mtafutaji..
Vp kwa wale wanawake ambao watakuwa hawajaolewa na umri wao hauwaruhusu kukaa na wazazi wao..,unadhani watapika nini?
Vp kwa wale wajane walioachiwa watoto..,wataishije na tumewajengea tabia ya kutotafuta..?

Ni bora wote tukatafute..kwani kama mwanamke ndiye mlezi mzuri hata Housegirl ni mwanamke kwahiyo anazosifa za kumjenga mtoto.

yaan acha tu kaka yangu

uyu mwandishi wa mada sjui kachapwa na mamayake leo manake dah...tuhuma moja kwa moja as if ajui kwa nini...sjui anaisha dunia gan..

he is so narrow.... I TOLD HIM..KI UHALISISA YES ILIBID IWE IVO ATA KWENYE MAANDIKO imeonyeshwa ivo MWANAMKE KI HOME HOME ANALEA WATOTO N ol domestics MWANAUME NDO AINGIE VCHAKAN KUTAFUTA NA KULETA MKATE HOME ...lakin kwa maisha aya ya sasa hali iyo aipo...na si km wanawake wamependa kwenda mzigon ni hali imekuwwa ivyo..

na katika malez uwez kumtusi mwanamke peke yake ata wanaume wengne wanakuwa role moddel wabaya sana kwa watoto ....

yes kutokuwepo kwa malez ya mama 24/7 home yanachangia watoto kutokwenda kwenye mstari mwema bt STILL ISN SUFFICIENT REASON KUWANYOSHEA VDOLE WANAWAKE ET NDO CHANZO....

WE MWANDISH ebu waza kwa mapana...usiwaze kwa chuk tu juu yua wanawake...angalia kwwa mapana nini kinasababisha...

wangap wamesomeshwa na mama zao tu..wakat mding upo anakunywa tu pombe?

apo utasemaje sasaa?

mama asingeenda kuuza ndizi ili apate sent za kukulipia ada?

mama asingeangaika kutafuta pesa za dawa ukiumwa?

we mwandish naomba umri pls nisije nkawa natoa sh 10 kumbe kiwango chako ni sumni moja...

Sina chuki na akina mama,ukisoma nilichoandika nimeanika kwa upendo sana,tazama kichwa cha habari,tatizo mnazungumzia matokeo badala ya chanzo,mambo kama kupigwa,kunyimwa hela ya matumizi n.k hayo ni matokeo,chanzo je?

Yap!Unajua mtu anapokuja akakushauri jambo la kijinga ukalikuali wote mnakuwa matatizoni ila kwa nafasi tofauti!

Do you think that you have captured my mind? Hahahaaaaa......! Ni ukweli usiopingika kuwa malezi bora kutoka kwa baba na mama yana nafasi kubwa sana katika kumjenga mtoto. Na ndo maana nikasema kuwa wababa mlijisahau sana katika hili na wengine mkashindwa kutimiza majukumu yenu katika familia mkidhani watoto wote wanazaliwa na akili moja! Tatizo lako ni kwamba, unamlaumu mama anaefanya kazi lakini hauangalii kwanini huyo mama anaamua kuiacha nyumba yake asubuhi na kwenda kutafuta riziki?

Eiyer kuna ukweli fulani kwenye yale uliyosema ...lakini embu msome Rose1980 halafu uangalie na hali halisi ya maisha kama yale uliyosema yanaweza kufuatwa kwa asilimia zote.

Nimemsoma vizuri sana na nimemjibu!Mazingira hayajawahi kuubadili ukweli hata siku moja,halafu mazingira au hali halisi ni binadam huyohuyo anaetengeneza kwa mambo yake!

mie nafikiri mwanamke anaweza fanya kazi na bado akaprovide malezi mazuri tu kwa family,ukizingatia watoto siku hizi unarudi home na wao ndio wanaingia toka shule unless uwe mama wa mitoko ya mara kwa mara,mama yangu mie alifanya kazi na still alipata muda mzuri tu wa kutupa maadili na kumtake care mumewe

Kila kukicha kumekuwa kukitotea mambo mengi sana mema na mabaya katika maisha ya mwanadam,lakini wataalam wa saikolojia wamekuwa wakisema kila siku kuwa binadam huwa kama alivyo kutokama na malezi yake,na tatizo kubwa la matukio yanayotokea leo,ikiwemo kwenye mahusiano ni malezi yaleyale,asilimia yetu kubwa hatukupata malezi ya baba na mama kutokana na wazazi wetu kukosa muda wa kuwa nasi,kazi zao ndo zimekuwa shida!Mama ndie alikuwa na jukumu hili,lakini leo ameicha kazi hii ya thamani ya kumjenga mwanadamu nae anaenda kwenye mapilika ya mwanaume akidhani ndiyo maisha bora,kumbe hakujua kuwa,alipoonekana raisi bora ni mama alimfanya awe bora,as well as meneja yoyote,waziri,mwanamuziki na wagunduzi wa vifaa mbalimbali na n.k,hawa walikuwa ni matokeo ya ubora wa kazi ya mama,thamani yake ilikuwa halisi ndo maana kukawa na kauli kama 'nani kama mama'?Hii ilitokana na shughuli nzuri ya malezi ya mama,ndio maana walisema ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima,hii ilitokana na nafasi aliyokuwa nayo!Huyu ndie mwanamke mwenye thamani ya ukweli!Leo wanadamu tumekuwa na tabia za ajabu coz tumekosa hayo,tumelelewa na mahause girl ambao wanamatatizo mengi huku mama akienda kufanya kazi asiyomhusu,tena kazi isiyokuwa na thamani yake,Nani alimdanganya mwanamke kuwa uwaziri au urais ni bora kuliko kutengeneza tabia ya huyo waziri ambayo uadilifu wa kazi yake ni sifa tosha kwa mama?Wanawake amkeni mmedanganywa!

Mhhhhhh!!!! kwa mwendo huu bado tuna jukumu kubwa sana wanawake..........................Pole Eiyer

Hayo majukumu mbona yalikuwepo tangu kale??if you are a christian, soma provebs chapter 30 and 31 uone wanavomsifia mwanamke anaye jishughulisha na uzalishaji mali kutunza mume na kulea watoto!siku hizi 'kufuma sufi na kulima mbogamboga ' ndo kusoma,kupata degree,kuingia ofisini na kusaidia hela ya mboga nyumbani!!halafu-mbona eva alikuwa 'full time mother' na mwanaye bado akawa muuwaji-am talking of cain..lets not be so backward without analysing issues!

Hiyo mifano ya maandiko uliyotoa hebu soma 1tom 2:12-14,1kor 14:34-36 utapata jibu kama unataka mistari zaidi ipo!

Mkuu Eiyer umeeleweka,salute!wakati ww unaongelea chanzo cha tatzo wadada wanaongelea matokeo ya tatzo,hapa hamuwezi kuelewana...labda tu kumaliza mzizi wa fitina hebu waulize akina dada/mama ni nn nafasi ya mama katika malezi ya mtoto/familia alafu tuwaulize akina kaka/baba nao swali hilohilo alafu tuangalie mapungufu ya pande hizi kisaikolojia na kimakuzi

Ntarudi baadae.

Saluti mkuu!Bora uliona tatizo,yani kazi kwelikweli!

Back
Top Bottom