King'asti,belive me,mwanamke anaefanya kazi anaondoka nyumbani asubuhi ni tatizo,mtoto anazaliwa baada ya miezi 3 mama anaanza kumwacha!Hii nini?Malezi ya mtoto yanahitaji pande mbili sawa,wewe unalitafsi vipi hili?Mgawanyo uko wazi,mama majukumu yake ni ya myumbani,kumjenga mtoto kisaikolojia,namna ya kujitambua,nidhamu n.k,baba yeye ni kuleta hela ya chakula na kulipa ada za shule,hebu niambie yapi ni ya muhimu kwa mtoto?Wanaume marioo bado ni zao lilelile la matatizo ya kimalezi ya mama!Unyanyasaji wa mwanamke ni matatizo ya kijamii ambayo haya yana solution yake!Tatizo ni uongo mliolishwa!