Km anaimba good music je ana tuzo ngapi za international level je alishawahi pata hata nomination katika tuzo yoyote outside east Africa
Kwendraaaa, tena pita mbali na mimi.....
No research No right to speak... Hebu ulete huo mjengo wa gharama hapa tuuone
Zingifuri zingifuriii
Insta ambapo am follow mtu hata mmoja anajifanya ana swag za Beyonce kweli ana makuu hata insta
Ndio mdudu gani huyo? Sijawahi kumsikia!
Wewe nae hebu tutokee hapa.Wewe unaingia JF kwa msimu utajijua mwenyewe, picha zilishawekwa huku nyingi tu kama hukuwepo usituchose sie.
Ha haaaa wala usimjueeee..kimoyo moyo tu unaelewaaaaaa.....
Big up
Huyu msanii wenu yupo so local toka anza kufanya mziki n mwaka wa 10 sasa ata kupata nomination channel O ajapata halafu mnasema ana jua mziki
Picha za mapagale.... Inaonekana unamiliki server za JF kiasi kwamba unajua naingia JF mara ngapi kwa mwaka
Km anaimba good music je ana tuzo ngapi za international level je alishawahi pata hata nomination katika tuzo yoyote outside east Africa
Scandal anazo sana kuzaa watoto kila mmoja na mama yake
Afu fununu anatoka na Jojo ( joketi )
Kama ameamua ni maisha yake mwenyewe sie tunataka mziki mzuri
Wabongo ni wanafki sana.. Mlianza kumsifia Juma nature kisa usela mavi wake wa kushinda vijiweni na wana ila ikafika kipindi nyie nyie mkasema Msanii inatakiwa awe kisanii ...mkaanza kumponda Juma kassim kiroboto..
Baada ya Anguko la Juma nature akatokea mtu ambaye anajiweka kisanii na kila kitu mlichokosa kwa Juma nature ... Mnasema Anaishi maisha ya kuigiza.....woooot...!!!
Wabongo haohao mliomkosoa Juma nature kwa Maisha yake ya kawaida at the same time mnamsifia kiba kwa vigezo mlivyokataa kwa Nature....
Kuna vitu vingine inabidi tu theory ya Res ipsa loquitor itumike....
Ameelewa huyo