Wabongo ni wanafki sana.. Mlianza kumsifia Juma nature kisa usela mavi wake wa kushinda vijiweni na wana ila ikafika kipindi nyie nyie mkasema Msanii inatakiwa awe kisanii ...mkaanza kumponda Juma kassim kiroboto..
Baada ya Anguko la Juma nature akatokea mtu ambaye anajiweka kisanii na kila kitu mlichokosa kwa Juma nature ... Mnasema Anaishi maisha ya kuigiza.....woooot...!!!
Wabongo haohao mliomkosoa Juma nature kwa Maisha yake ya kawaida at the same time mnamsifia kiba kwa vigezo mlivyokataa kwa Nature....
Kuna vitu vingine inabidi tu theory ya Res ipsa loquitor itumike....