Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

wera weraaaaaaa...
Forever ali kiba.hatuna stress kua akiachana na mwanamke huyu atakua hana jipya maana hategemei wanawake kupata kick...
Good music ndio nguzo hasa ya king kiba.

k 4 real
 
Hahahahahaaa Diva Beyonce unanipaga raha sana! Basi tu am proud of being your friend!

Diva Beyonce 😱😱 jay z am here bae come to papa tumlee mtoto wetu blue ivy πŸ˜€
 
Last edited by a moderator:
Sasa we hujui Ali kiba ana weka ela kwny kibubu c alivamiwa n akaibwa million 4 cjui 2 sasa katika dunia ya Leo nani ana kaa n iyo ela nyumbani kwake

Hyo hela ndogo sana ya matumizi ya ya nyumbani, mbona we endelea na kibubu chako mana ndo swaga za uswahili hizo kuweka hamsini Mara mia. Yaani from UA comment its seems una psychological problem na Kiba kijino pembe utakufa nacho kijibwa cha roho. Umuache Ali kiba hana time na watu wasio classy na waswahili Swahili.
 
Ama nini? Ni mwendo wa ku vote tuuu, mchiriku chaliiii mwaka huu.Na bado mwakani watapata nominations za kwenye taarab!



Mambo ya touch, mambo ya good music! Tumechoka vigodoro vya tandale.Mimi nilikua sijui vigodoro hadi nikajua! Loooh....

msanii wenu bado anakomaa na tuzo za kibongo...hehehe... ,,alipotelezea na Platinum akatusulia hatapasahau....
 
Wamesema kuwa kizuri chajiuza kibaya chajitembeza na akiona mambo magumu anajifanya kutetea wengine kumbe ni selfish na kujitaftia public sympathy tu watasubiri sana debe tupu hupiga kelele.

Umeona eeh? Fanya mziki mzuri tu watu watakupenda hayo mambo mengine mwisho wa siku watu wanakuchoka ndio unaanza kupanic na kuandika magazeti instagram.
Instagram ni mtandao wa picha, magazeti JF!
Hahahahahaaa chezea kudata wewe?
 

Come to papa jay z tumlee mtoto wetu blue ivy diva beyonce
 
Hahahahahaaa Diva Beyonce unanipaga raha sana! Basi tu am proud of being your friend!

Me too dia am proud of you so mwaaaaaa heeeh watuache miaka bilion eeh sisi na kiba kipendacho roho chetu no matter what tu ta mu support sasa wasikae na mtu wao wamshauri wana hangaika na Kiba tena kuongea negativity tu.
 
Last edited by a moderator:
msanii wenu bado anakomaa na tuzo za kibongo...hehehe... ,,alipotelezea na Platinum akatusulia hatapasahau....

Kwendraaaa, hizo hoja za mwaka 47 hazina nafasi kwa sasa.Jaribu kuwa updated basi, khaaaa!
 
Nilipoanza mzikii,Tabu na dhiki,nilikutana na matatizo sanaaa!
Sikuwa rafikii,sithaminikii,bado kidogo tu mi nikate tamaaa!!
Wangu moyo ulivumilia dharau na masimango iiii!!
Mi wangu moooyo!ulivumilia dharau na manyanyaso iiiii!

Ile naangahika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa naumiaaa
Moyoni najipa moyo kesho nitakuwa maarufu mwisho wa siku nafuliaa!Γ—2

Niwewe pekee ndie unajua wangapi binadamu wabayaa!!wabayaa
Mola nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawaaa!!

Platnumz bwana!!
 
Diva Beyonce 😱😱 jay z am here bae come to papa tumlee mtoto wetu blue ivy πŸ˜€

Halafu wewe ni kitoto kidogo sana.Am pretty sure that hufikishi hata miaka 23 kwa hizi post zako.
You are too low, jaribu kujipanga tena halafu uje tena.
Kama mtu unajadili ID si ujinga huo?

cc: Diva Beyonce
 
Last edited by a moderator:
Come to papa jay z tumlee mtoto wetu blue ivy diva beyonce

Kiba cmuazie hata kidogo am thinking of davido may be katika kufanya collabo n meek mill n Trey songs basi karoho kangu kana uma hapa
 
mkuu sio kweli jamaa toka kitambo yupo simple sana

Hana kitu bwana kila mtu anajua. Angekua na Range au X6 au endorsement za maana mbona tungejua tu kilazima hata kama c kwa show off zake hata nyie teamkiba mngesema humu.
 
Kwendraaaa, hizo hoja za mwaka 47 hazina nafasi kwa sasa.Jaribu kuwa updated basi, khaaaa!

Kelele za churaaaaaaa......hazimsaidiiii

Nyie pigeni kelele tuuu hapa.....
 
Zingifuri kwisha habari yake na ngoma zake za vogodoro.
 
pesa yenyew ya kutolea video ya chekecha inamsumbua hadi leo.... hats hivyo hana mvuto wa kistar ndio maana inakuws ngumu hata makampuni kumtumia inafikia hata wakina ney wa mitego wanamshinda bwana dah..

inasemwa alikiba hapendi kiki, sio hivo magazeti ya udaku asilimia kubwa ya stori zao ni kutunga na wanaangakia nani anakubalika kiasi kwamba tukiandika iuze,, wakimwandika alikiba hana mvuto kiivo yani, ana watoto watatu na kila mtu na mama yake na hakuna hata mmoja aliyeolewa kati ya hao magazeti yana vingi vya kuchimbua kuhusu hilo lakini wanajua tuu hakubalikiii... ila diamond hana mtoto ndio kwaanza kamimba tu kwa zari, lakini zinatungwa stori za uongo kibao......... kuhusu diamond kupost picha za nyumba yake, ni kuzidi kusihi watu kuwa muziki ni ajira kama ajira nyingine ukumbuke kuwa baraka DA prince ameanza kupewa support ya kimuziki na baba yake baada ya kuona mafanikio ya diamond....., "dont hate be inspired"
 
Kiba cmuazie hata kidogo am thinking of davido may be katika kufanya collabo n meek mill n Trey songs basi karoho kangu kana uma hapa

Masikini hadi unajiquote mwenyewe!
 
Halafu wewe ni kitoto kidogo sana.Am pretty sure that hufikishi hata miaka 23 kwa hizi post zako.
You are too low, jaribu kujipanga tena halafu uje tena.
Kama mtu unajadili ID si ujinga huo?

cc: Diva Beyonce

It was just a joke πŸ˜€ don't panic
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…