Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

Nilipoanza mzikii,Tabu na dhiki,nilikutana na matatizo sanaaa!
Sikuwa rafikii,sithaminikii,bado kidogo tu mi nikate tamaaa!!
Wangu moyo ulivumilia dharau na masimango iiii!!
Mi wangu moooyo!ulivumilia dharau na manyanyaso iiiii!

Ile naangahika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa naumiaaa
Moyoni najipa moyo kesho nitakuwa maarufu mwisho wa siku nafuliaa!×2

Niwewe pekee ndie unajua wangapi binadamu wabayaa!!wabayaa
Mola nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawaaa!!

Platnumz bwana!!

We bint unaakili...sanaaaaa
Pia unajielewaaaa..
Sio hawa kaz kumpigia promo mtu anaepiga..sho za buku saba saba..wakt watu wanapiga shoo za mil tatu na tiket znaishaaa
 
Me too dia am proud of you so mwaaaaaa heeeh watuache miaka bilion eeh sisi na kiba kipendacho roho chetu no matter what tu ta mu support sasa wasikae na mtu wao wamshauri wana hangaika na Kiba tena kuongea negativity tu.

Thanks my dearest friend. ..
Na watuwacheeee, kwani tukimsapoti Kiba tumeomba bundle kwa mtu? Kwa raha zetu tunatiririka.
 
Hafu msije na id's mpya kwenye uu Uzi kama mnajiona vidume kweli njooni na I'd mulizozoekeka nazo hizi mpya inainyesha one person mwenye multiple id's tabia ka ya jogoo kisheeee..... tu hamna jipya.
 
Kaa hapahapa, tuliza papara wewe.
Mambo mazuri hayataki haraka.

Siwez kukaa na show za buk saba....ni next level msimfananishe na daimond huo maskn wenuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiuu
 
Hahahahhaaa, naona sindano imekuingia kwelikweli.
Tulia dawa iingie vizuri, joke baada ya kuzidiwa ndio unasema.

Sindano ipi kumbe ww n daktari n hapa n hospitali :what:
 
Halafu wewe ni kitoto kidogo sana.Am pretty sure that hufikishi hata miaka 23 kwa hizi post zako.
You are too low, jaribu kujipanga tena halafu uje tena.
Kama mtu unajadili ID si ujinga huo?

cc: Diva Beyonce

Mamii hawa wasikusumbue akili ni wana multiple id's sijui wanafikiri huku tunashindana nini? Wakikua wataacha na kuanza Ku argue ka watu wazima.
 
Last edited by a moderator:
Thanks my dearest friend. ..
Na watuwacheeee, kwani tukimsapoti Kiba tumeomba bundle kwa mtu? Kwa raha zetu tunatiririka.

Yani chao ndo bora mtu ukitofautiana mawazo ni wivu kwa kipi hasa cha ziada. Hawajui tu ngoma ikivuma sana u basti.
 
Siwez kukaa na show za buk saba....ni next level msimfananishe na daimond huo maskn wenuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiuu

Duh, wewe jamaa wa wapi aisee? Anyways, ngoja leo nikuache tu maana unaonekana hujui naongea nini maana kila wakati unatoka nje ya tunachoongea.
Kwaheri kwa leo, karibu siku nyingine ukishakua ok maana sijui una stress wewe?
 
We bint unaakili...sanaaaaa
Pia unajielewaaaa..
Sio hawa kaz kumpigia promo mtu anaepiga..sho za buku saba saba..wakt watu wanapiga shoo za mil tatu na tiket znaishaaa

Wivu utakua yani mtu wa shoo za buku saba anakuumiza kichwa kiasi hichi basi yeye ni kiboko yao. Teh teh promo tutapiga sana mwanzo mwenga hafu acha kulia lia kwenye yasiyo kuhusu.
 
We bint unaakili...sanaaaaa
Pia unajielewaaaa..
Sio hawa kaz kumpigia promo mtu anaepiga..sho za buku saba saba..wakt watu wanapiga shoo za mil tatu na tiket znaishaaa

Ahsante sana mkuu!!wanashindwa kuelewa kama sasa hivi mziki ni biashara na sio kipaji kama zama za DDC Mliman Park!
 
Sio kwamba ana penda kuishi ivyo tatizo ela sasa akianza kununua nguo kibubu cha kujazia ela ya kufanyia video ya kale ka wimbo kake c kitaisha ela yote

We ---- kweli wewe
 
Wivu utakua yani mtu wa shoo za buku saba anakuumiza kichwa kiasi hichi basi yeye ni kiboko yao. Teh teh promo tutapiga sana mwanzo mwenga hafu acha kulia lia kwenye yasiyo kuhusu.

Ahahah diva mwaya karibu kwetu kwa Chibu!kila siku tunakula Nyama fresh hakuna viporo wala nini!!
 
pesa yenyew ya kutolea video ya chekecha inamsumbua hadi leo.... hats hivyo hana mvuto wa kistar ndio maana inakuws ngumu hata makampuni kumtumia inafikia hata wakina ney wa mitego wanamshinda bwana dah..

inasemwa alikiba hapendi kiki, sio hivo magazeti ya udaku asilimia kubwa ya stori zao ni kutunga na wanaangakia nani anakubalika kiasi kwamba tukiandika iuze,, wakimwandika alikiba hana mvuto kiivo yani, ana watoto watatu na kila mtu na mama yake na hakuna hata mmoja aliyeolewa kati ya hao magazeti yana vingi vya kuchimbua kuhusu hilo lakini wanajua tuu hakubalikiii... ila diamond hana mtoto ndio kwaanza kamimba tu kwa zari, lakini zinatungwa stori za uongo kibao......... kuhusu diamond kupost picha za nyumba yake, ni kuzidi kusihi watu kuwa muziki ni ajira kama ajira nyingine ukumbuke kuwa baraka DA prince ameanza kupewa support ya kimuziki na baba yake baada ya kuona mafanikio ya diamond....., "dont hate be inspired"

K 4 REAL anatisha
 
Masikini Kiba, watu wanampamba ili wamdhulumu vizuri. Ukweli sina jinsi lakini ningependa siku moja naye awe huru kama Chibu. Anaibiwa sana na hau wanaomsifu. Ni genge la mawingu hilo kutwa kucha kuanzisha thread ziso maana.
 
Tanzania icon Diamond Platinumz
 

Attachments

  • 1431357143708.jpg
    1431357143708.jpg
    32.7 KB · Views: 120
Back
Top Bottom