sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Nilipoanza mzikii,Tabu na dhiki,nilikutana na matatizo sanaaa!
Sikuwa rafikii,sithaminikii,bado kidogo tu mi nikate tamaaa!!
Wangu moyo ulivumilia dharau na masimango iiii!!
Mi wangu moooyo!ulivumilia dharau na manyanyaso iiiii!
Ile naangahika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa naumiaaa
Moyoni najipa moyo kesho nitakuwa maarufu mwisho wa siku nafuliaa!×2
Niwewe pekee ndie unajua wangapi binadamu wabayaa!!wabayaa
Mola nilinde niwe na upendo wa dhati wote niishi nao sawaaa!!
Platnumz bwana!!
We bint unaakili...sanaaaaa
Pia unajielewaaaa..
Sio hawa kaz kumpigia promo mtu anaepiga..sho za buku saba saba..wakt watu wanapiga shoo za mil tatu na tiket znaishaaa