Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

Hafu msije na id's mpya kwenye uu Uzi kama mnajiona vidume kweli njooni na I'd mulizozoekeka nazo hizi mpya inainyesha one person mwenye multiple id's tabia ka ya jogoo kisheeee..... tu hamna jipya.

Tanzania icon diamond platinumz
 
hana makuu jamani mtoto wawatu katumwa kuzalisha tu wanawake kila mtoto na mama ake ye anajua kuzifigisa nyapu tu tena bila ndom si mchoyo anagawa utamu bila hiyana kavukavu hhhhhh king mpiga mbupu
 
Tanzania icon diamond platinumz

Kweli kiba anawaumiza vichwa mno hadi mnapaniki na kuandika visivo relate na post. Hahaaa yeye si wa international kwanini anahaingaika na mwanamziki wa ki local. Tena nyie mashabiki wake ndo mnadhihirisha mumepaniki naye. Take a chill pill Ali K for real.
 
hana makuu jamani mtoto wawatu katumwa kuzalisha tu wanawake kila mtoto na mama ake ye anajua kuzifigisa nyapu tu tena bila ndom si mchoyo anagawa utamu bila hiyana kavukavu hhhhhh king mpiga mbupu

Je wenu aliyeshikwa masikio kwenye mimba ya mwanaume mwenzake je? Bora yeye anazaa na sio mgumba mwenyewe hapo ni mtoto wa mchepuko. Naona mumeishiwa mumehamia kwenye kukoment ujinga. Again take a chill pill and relax.
 
Welcome to Tanzania The Land of Diamond Plutnumz
Kilimanjaro Mountain
Serengeti National Park
Ngorongoro National Park and Zanzibar Island

Teh teh teh umevurugwa kweli kweli nenda mirembe and take a chill pill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…