lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
-
- #141
hahaha nimependa hiyo... Diamond no noooma na tunasubiri mzigo huo na psquare tuvunje amani kabisa
vitabu vitakatifu vya dini vinasema, na mkazaliane muijaze dunia
Huyu msanii wenu yupo so local toka anza kufanya mziki n mwaka wa 10 sasa ata kupata nomination channel O ajapata halafu mnasema ana jua mziki
Hayo maneno mlianza kusema tangia enzi za nimpende nani kuwa Dai atashuka....
Mnafkiri yeye ni ally aliyepotea halafu akarudi kwa kupitia bif na Dai
Nina hakika Domo alianza kuimba nyimbo za Kiba kama sehemu yake ya kujifunza kuimba wakati hata mtaani kwao hawamjui.
Mwanafunzi anaweza kutusua kumzidi mwalimu ila wakikutana mwanafunzi lazima atatoa ishara ya heshima kwa mwalimu
Uliyeleta post umeniibia matilio
Teh Teh
Boss BADILI TABIA ule ushauri ulio utoa kwa bwana harusi haujafanyiwa kazi!
president chibu dangote..... Hahaha moto wa kuotea mbali saaaaaaaaaaaaaaaaaaanah!!!
Nani alianza kusema tangia nimpende nani na ni enzi zipi zama za mawe au late stone age.
Yeah, ndio maana namkubali sana Kiba kiukweli.Lifestyle yake tu inampa heshima bado good music....
Nenda mwambie wanompenda wacchache!Wengi wanamtamanii!
Uuu wanataka kwa tafadhalii!wakishapewa wanapoteaa!!!
Nenda mwambie ajihadhariii!na dua njema namuombeaaa!!
kiba mtu mzima mwenye zake timamu, hana mambo ya kujishiw show hovyo, ana nyumba nzuri tu ila hata hakusumbuka kuisufia hovyo, pia jamaa ni mdini sana. in short the guy is classic
k 4 real
Letter k inamaana nyingi sana ... Sasa sijui ukisema K For Real unamaanisha Kaka, Kuku , kumaliza halafu utoe liza au ulimaanisha nn