Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

Huyu msanii wenu yupo so local toka anza kufanya mziki n mwaka wa 10 sasa ata kupata nomination channel O ajapata halafu mnasema ana jua mziki

Nina hakika Domo alianza kuimba nyimbo za Kiba kama sehemu yake ya kujifunza kuimba wakati hata mtaani kwao hawamjui.

Mwanafunzi anaweza kutusua kumzidi mwalimu ila wakikutana mwanafunzi lazima atatoa ishara ya heshima kwa mwalimu
 
Hayo maneno mlianza kusema tangia enzi za nimpende nani kuwa Dai atashuka....

Mnafkiri yeye ni ally aliyepotea halafu akarudi kwa kupitia bif na Dai

Nani alianza kusema tangia nimpende nani na ni enzi zipi zama za mawe au late stone age.
 
Nina hakika Domo alianza kuimba nyimbo za Kiba kama sehemu yake ya kujifunza kuimba wakati hata mtaani kwao hawamjui.

Mwanafunzi anaweza kutusua kumzidi mwalimu ila wakikutana mwanafunzi lazima atatoa ishara ya heshima kwa mwalimu

mkuu waelezee na ile kauli ya davido.THEY CHEATING AGAIN
 
Nenda mwambie wanompenda wacchache!Wengi wanamtamanii!
Uuu wanataka kwa tafadhalii!wakishapewa wanapoteaa!!!
Nenda mwambie ajihadhariii!na dua njema namuombeaaa!!
 
kiba mtu mzima mwenye zake timamu, hana mambo ya kujishiw show hovyo, ana nyumba nzuri tu ila hata hakusumbuka kuisufia hovyo, pia jamaa ni mdini sana. in short the guy is classic
 
kiba mtu mzima mwenye zake timamu, hana mambo ya kujishiw show hovyo, ana nyumba nzuri tu ila hata hakusumbuka kuisufia hovyo, pia jamaa ni mdini sana. in short the guy is classic

Mdini anyeshiriki tunzo za wauza bia.. Huko ni kusifia kupitiliza
 
Back
Top Bottom