BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Wakuu nimefanya research ndogo na kugundua kwamba kuna mwanamuziki moja tu anayeishi maisha yasiyo ya maigizo kama wenzake wanaoshinda wakiazima magari,nguo ,simu,viatu. Huyu anaishi maisha halisi naye ni K 4 REAL.
Bila shaka wakuu mnakubaliana nami hapa.
jibu ni NDIYO
Kama anaishi maisha yake halisi, basi angetumia jina lake halisi kwny utambulisho wake kisanii...K 4 Real =?