Uwajibikaji , kitu ambacho serikali za ki africa bota angekufaNimeipenda sana kauli yake.
Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi:
"Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu wazuri...,"
Wewe vipi, una mawazo au nia kama hiyo kwa mke wako na watoto wako?. Kama unawaza kumwacha mke wako au kumkomoa basi kubali tu hustahili kuitwa mwanaume bora au mume bora. Na pia kama unapanga kuwa na mahusiano na wanawake wengi, tambua kuwa utazaa watoto wengi watakaokosa malezi ya baba, na kwa sababu hiyo pia hustahili kuitwa baba bora.
The Rt Hon Sir Keir Starmer, congratulations on recognizing that being a devoted husband and father is a manβs highest calling.
Your decision is a powerful reminder that true greatness begins at home.
You have set an inspiring example for men everywhere.
Hakuna kipya hapo. Problems are very humbling. They draw people closer to their families.Nimeipenda sana kauli yake.
Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi:
"Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu wazuri...,"
Wewe vipi, una mawazo au nia kama hiyo kwa mke wako na watoto wako?. Kama unawaza kumwacha mke wako au kumkomoa basi kubali tu hustahili kuitwa mwanaume bora au mume bora. Na pia kama unapanga kuwa na mahusiano na wanawake wengi, tambua kuwa utazaa watoto wengi watakaokosa malezi ya baba, na kwa sababu hiyo pia hustahili kuitwa baba bora.
The Rt Hon Sir Keir Starmer, congratulations on recognizing that being a devoted husband and father is a manβs highest calling.
Your decision is a powerful reminder that true greatness begins at home.
You have set an inspiring example for men everywhere.
Not always, Chief.Hakuna kipya hapo. Problems are very humbling. They draw people closer to their families.
Ukipigwa lazima ukimbilie nyumbani.
Mwongozo ukikosekana ni tafraniHayanaga muongozo c.c Mahondaw
Exceptions huwa hazikosekani, lakini the vast majority of us tukipigika huko nje, tunatafuta refuge nyumbani. Thatβs when we see the true value of our families!Not always, Chief.
Kwani wewe hujui kwamba kuna watu wakikasirishwa na problems zilizowapata, badala ya kukimbilia nyumbani na kuwa humbled, hasira zao wanazimalizia kwa mke na watoto?
Unamtag vipi huyo dada bila kumtag smart pia? πHayanaga muongozo c.c Mahondaw
Shauri yakoMuhimu ipiteπ
Tulia ,mimi pia ni mtuShauri yako
Au sio π kila la heriTulia ,mimi pia ni mtu
Mtu wenye matunda ndio tunaupiga maweAu sio π kila la heri
It's not always the case, muda mwingine mti unapigwa mawe kwa sababu una nyokaMtu wenye matunda ndio tunaupiga maweView attachment 3613270