Huyu ndiye Mwanaume bora wa mwaka 2026

The Rt Hon Sir Keir Starmer, congratulations on recognizing that being a devoted husband and father is a man’s highest calling.
Hivi wenzetu wameumbwaje jamani? Huwezinkusikia takataka za Afrika zinajiuzulu kwa kuwajibika, ona hili takataka pamoja na kufanya ugoro bado limeng'ang'ania ofisini!
 
Babu sisi sio wazungu, ni waume bora Kwa wake zetu hata kama tusipoacha kazi, kwanza hawataki kutuona siku nzima nyumbani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama hataki kukuona siku nzima nyumbani, hiyo tayari ni bendera nyekundu kuwa bado hujawa bora kwa mkeo
 
Hivi wenzetu wameumbwaje jamani? Huwezinkusikia takataka za Afrika zinajiuzulu kwa kuwajibika, ona hili takataka pamoja na kufanya ugoro bado limeng'ang'ania ofisini!
Umeenda nje ya mada.
 
Kama hataki kukuona siku nzima nyumbani, hiyo tayari ni bendera nyekundu kuwa bado hujawa bora kwa mkeo
Mkuu we kaa tu muangaliane ukimaliza mwezi utakuwa na matatizo ya akili
 
Hivi wenzetu wameumbwaje jamani? Huwezinkusikia takataka za Afrika zinajiuzulu kwa kuwajibika, ona hili takataka pamoja na kufanya ugoro bado limeng'ang'ania ofisini!
takataka haswa tena lilivyo na mdomo mchafu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…