wacha kuamini mambo yasiyo na maana wewe hiyo fedha siyo ya jini wala mjomba wake shetani. Ni fedha iliyopatikana kiharamu na ndiyo maana haina uchungu wo wote.
Jamani hawa watu wanaitwa mapedeshee wanashangaza sana kwanini wasiwe wanasaidia watoto wa mitaani au wanaishi kwenye nyumba za watoto yatima matokeo yake wamekuwa wakitafuta sifa za kijinga
Wenzie majuu kama kweli unazo unazimwaga kama mvua. Sio unahesabu vinoti vyako huku moyo unakudunda.
Kama yeye kweli ni "baller" alitakiwa azimwage ukumbini kila mtu achukue kivyake, kwani true players make it rain baby................