The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
pesa ya wizi haina uchungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnajua hizo hela alizotunza baadae wanamrudishia:smile-big::smile-big::smile-big:
mutoto ya ng'ombe bana... akili kama ng'ombe menyewehahahaaa kweli duniani kuna mambo... Huu ni ulimbukeni kumwaga mihera hivi kumbi za starehe. Mutoto ya ngombe hovyo.
hana CV mkuu.... alizaliwa, akasoma primary na sekondari... kwisha!!Huyu ni nani jamani??? CV japo kwa ufupi,
acha wivu wa kike.....Limbukeni..pesa yenyewe ya uizi.
Huyu kweli mtoto wa ng'ombe hana akili sawa sawa. Kwanini asiende kusaidi maskini huko vijijini akaoneka wa maana zaidi?
...hilo nalo nenoutoto tu unamsumbua,akikua ataacha