Huyu Ndiye Rafiki kwa sasa wa Wema Sepetu

Huyu Ndiye Rafiki kwa sasa wa Wema Sepetu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Maneno yalikuwa yanasemwa mtaani na baadae ikajulikana kuwa ni kweli Kajala na Wema hivi sasa wapo katika ugomvi mkubwa tu, jambo ambalo Kajala mwenyewe alifunguka kuwa, Ndio tunaugomvi kama walivyo marafiki wa kawaida kugombana, ila muda ukifika tutayamaliza", hiyo ndio kauli ya kajala toka akiri kuwepo kwa ugomvi huo, huku kwa upande wa Wema mambo yako hivi;

"Thank you ma love for zawadi… hapa meno sasa kuoza ni lazima… I loooove looooove loooooove you… Raha ya kusafiri zawadi… God bless u ma love…@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel Sasa basi najua nina deni la pictures… Hapa nafanya kazi ya kuzikusanya zooooote… Kesho mtachoka nyie… Maana ni tokea Mtwaraa si mnakumbuka…. Mi nawapenda sana…"aliyatumia Wema Sepetu maneno hayo kupitia uwanja wake wa kujidai wa instagram.

Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza unapamba moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo, ushostito wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na Kajala.

Urafiki wa mashaka ukiona unagombana na kila shoga yako some tym take a break na jiulize may be kuna behind the scene tusiyoijua... Wapi Snura mara oh my sweet my best then Kajala ooh my nini sasa Aunt ooh my love... Ndo kusema hao wote wanamatatizo?
 
Nakakumbuka alivyokuwa na snura viapo kibao , kajala nae hvyo hvyo had akasema hakuna wa kuwatenganisha labda mungu , sasa mbona Clement kawatenganisha au na yey n mungu
 
Nakakumbuka alivyokuwa na snura viapo kibao , kajala nae hvyo hvyo had akasema hakuna wa kuwatenganisha labda mungu , sasa mbona Clement kawatenganisha au na yey n mungu

wa uongo sana huy tatizo anatakag kuwashik maskio mtajila shaur zen
 
Urafiki wa fisi huwa unakufa pale fisi wanapokutana mzoga,kila mmoja hutokwa na udenda kwa matamanio.
 
Back
Top Bottom