Huyu ndiye Waziri Katambi sasa kwenye ubora wake

Halafu unajua huyu ni Chadema ndio mmempika akapikika hivyo hata nyie mngeingia madarakani mgefanya kama alivyofanya.
 
Hivi Kati ya mwigulu na katambi yupi kilaza zaidi?
Ila mwigulu naona kama amezidi Fulani hiviii View attachment 3616960
I wish hao anaowahutubia wangemuuliza jina la huyo kijana, makazi yake, na hao wanaomlipa! Ikiwezekana na benki inayopitisha hayo malipo kila mwezi. Akishindwa kumtaja na kutoa taarifa zake, basi hao wanaomsikiliza waamini hiyo ni porojo.
 
Hahahaha 😂😅🤣🤣🤣 aibu Sana hii...Toka mwaka wimbo wake ni huyu kijana Tu
 
Kila uchwao tumekamata wanalipwaaa sijui nin
fsyiuiuuuu
 
Teh teh teh
 
Attachments

  • FB_IMG_1782604803672.jpg
    16.8 KB · Views: 11
Kila uchwao tumekamata wanalipwaaa sijui nin
fsyiuiuuuu
Toka mwaka Jana
Huyu kijana.....
Huyu kijana.....
Kijana hana jina
Hajulikani ametoka wapi
Ila ndiyo tabia za wa communist uongo uongo
 
Stroke, Stroke, Stroke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…