Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

Elections 2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

kawakama

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,299
Reaction score
391
Umofia kwenu wana JF,

Wanasiasa wote pindi wanapokuwa wametia nia ya kutaka kuongoza nchi katika nafasi ya juu kabisa ya kisiasa duniani, kitu cha kwanza kabisa ni lazima mwanasiasa huyo awe na timu yake itakayomsaidia kufikia malengo yake ya kuongoza nchi, kama ndivyo ivyo basi #TEAM_YA_MAGUFULI ikiongozwa na sekretarieti ya CHAMA CHA MAPINDUZI imeshakwishajihakikishia ushindi mnono wa URAIS 25-10-2015 kutokana na kukubalika sana kwa mgombea wao JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ambaye anaonekana kutokuwa na mpinzani katika nafasi hiyo baada ya mgombea wa UKAWA kuonekana kushindwa japo kumaliza tu kampeni zinazoendelea kutokana na afya yake kuzidi kuzorota kila siku hali inayowatia hofu VIONGOZI WAANDAMIZI WA UKAWA.

Narejea kwenye lengo la uzi huu la kuwaonesha WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA DR JOHN POMBE MAGUFULI. Waziri Mkuu atatoka kati ya hawa watu makini watatu:

1. DR HARRISSON GEORGE MWAKYEMBE
2. FIELD MARSHALL Mwigulu Nchemba
3. PROF. SOSPETER MUHONGO


Hivyo basi, piga ua galagaza WAZIRI MKUU wa serikali ya awamu ya tano ya CCM CHINI YA TINGATINGA MAGUFULI atatoka kati ya huo UTATU MTAKATIFU.

By kawakama
 
tusubilie kwanza bana mbona unakua na haraka!!!!!
 
Wewewewe Mzee MWCHACHE akisikia hilo jina la Tatu moyo unaripuka puuuuuu..yan anajuta alichofanya..na mm nasema awe waziri mkuu tu maana hakuna namna nyingine sasa na kwa maslahi ya visima vyetu vya gesi na mafuta
 
Dalili za haya kutokea zipo lakini zinaishia 42% level of significance, labda waweza kuwa mawaziri vivuri. Who knows!
 
CCM ina makada wengi sana wa kuwa next PM, yeyote anaweza kufiti - CCM haiwezi kukodi mtu kama UKAWA ilivyo kodi akina Mgana Msindai, Sumaye etc
 
Hakika unaota ndoto za alinacha.Nani kakwambia Magufuli atashinda Urais hapo Octoba?
 
Back
Top Bottom