Huyu ndiye yeye au anadanganya?

Huyu ndiye yeye au anadanganya?

Duuu kamejikondesha mnoooo kupita maelezo
Nlimpenda sana baada ya kumuona kwenye ile movie ya kanumba ya lost twins..alivoigiza na mvuto wake.

Tulitarajia tungekuja kumuona kwenye movie nyingine lakini kimya.

Hata hivo sio vibaya ukimkumbuka na kupenda kumuona tena..kimbembe ni hapo nnapomuona tena baada ya miaka zaidi ya kumi aisee.

Wengi wakimwangalia wanadai sio yeye,ni mwanae au mdogo wake huyu.
Yeye kafariki miaka mingi.

Lakini yeye anakanusha hilo..na anakwreka na hizo shutuma za kuzushiwa kufa.
Maswali unayopata ukimwangalia

Inawezekana mdada mtu mzima kuwa na nyonga pana vile halafu urudi chini na kuwa kama mtoto anaekimbiza balehe?hata kama unafanya weight loss sio hivi.

Pia ni zaidi ya miaka kumi imepita tangu aigize ile movie..ukikadiria umri aliokya nao kipindi kile ni kama miaka 20+10 na zaidi=?

Vitu vinavyofanya niamini kuwa ni yeye ni jinsi alivo..sura ni ile ile.vidimpozi ni
She is above 18,utakutana nae anadrive kwenye shopping malls..
Mi hata sielewi

View attachment 1065992View attachment 1065993View attachment 1065994View attachment 1065995View attachment 1066001View attachment 1066002View attachment 1066000View attachment 1065999View attachment 1066003View attachment 1066004View attachment 1066005

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom