Huyu ndiyo Bruce Lee

Hata jina Bruce ni la kimarekani.

Mchina anaezaliwa china hawezi pewa jina la bruce.
Bruce Lee ni mchina wa Hong Kong. Hong Kong walitawaliwa muda mrefu na waingereza. Hivyo majina yao yamechanganyika na kizungu. Mfano kama kama Jack(Jack Chen), Donnie(Donnie Yen) n.k

Ijapokuwa si wote ila wengi wao wenye majina ya kizungu na kichina ni wa Hong Kong.
 
Uongo.
 
Bruce alikuwa mmarekani mwenye asili ya china because USA KWAKE NI COUNTRY OF BIRTH NA CHINA NI COUNTRY OF HIS ORIGIN MKE WAKE LINDA LEE NI MZUNGU MWANAE WA KIUME ALIKUFA BRANDON LEE WA THE CROW KWAIYO KABAKI BINTI YAKE NA MKE WAKE TU
Mmh wLiamua kupoteza kizazi chake!
Mtt wa kiume kwann alikufa?
 
Angalieni documentary ya Bruce Lee ipo Netflix. Utaelewa vizuri maisha na falsafa yake jamaa.
 
Sijawahi kuzipenda wala kuzielewa muvi za huyu jamaa

Ni kwel kabx bro ila sabbu wakati anaigiza bado movie zilikuwa Bado low budget quality pia kwa ufupi 1970s movie zilikuwa azina ubora San ila uwezo wa martial arts alikuwa nao mkubwa [emoji120][emoji120]
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=HaN8U8vuj-U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…